Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
kama alivyotabiri Shadeya hapo juu. 1-0Ngapi huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama alivyotabiri Shadeya hapo juu. 1-0Ngapi huko?
Pacha najua utasema nilibahatisha. 😜😜😜😜Hahahah eti 1-0
Kila la heri pacha
Haulipiwi kodi eeh🤣🤣🤣?Pacha naona mmeamua kuja kutesekea kwenye uzi wetu. 🤣🤣🤣🤣
Haya bana ndio kazi ya mdomo hiyo.
Kama panadol 🤣🤣🤣Unakuta mtu shabiki wa yanga na man u 😂😂😂
Maumivu kutwa mara tatu teh!!
Mchomoa betri kule Levy MwanawasaMfungaji wa goli la pekee hapo jana. Ndugu Makamee.
Huyu ndugu Makame ndio aliku mchezaji wa kumi na mbili wa Zesco eeh Shadeeya 🤣🤣🤣?Mfungaji wa goli la pekee hapo jana. Ndugu Makamee.
Jana eti kawapoza kidogoMchomoa betri kule Levy Mwanawasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana eti kawapoza kidogo