Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kuna mwenzie mmoja anaitwa Ali Ali nayeye anawalia timing tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anatubu kwa mtindo huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwenzie mmoja anaitwa Ali Ali nayeye anawalia timing tu
Yetu macho tu, watachapana bakora muda si mrefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwalimu ana kazi sana
Hongereni naona kwa mbinde yaani tena kwa goal lenye utata.🙌😀😀
Mwisho wa siku tumepata point tatu.Hongereni naona kwa mbinde yaani tena kwa goal lenye utata.🙌😀😀
Sijui mnakwama wapi?🤣🤣
Ndio na hata goli letu bado linapigiwa mdomo wakati ni halali kabisa.Haulipiwi kodi eeh🤣🤣🤣?
Karekebisha makosa.Mchomoa betri kule Levy Mwanawasa
Hapana Hayo mengine ni ya refa. Naona kwenye mgao wa gsm nae anahusika.Mwisho wa siku tumepata point tatu.
Haya mengine ni ya Mwalimu. 😜
Alizidi kuidumisha TAZARA.H
Huyu ndugu Makame ndio aliku mchezaji wa kumi na mbili wa Zesco eeh Shadeeya 🤣🤣🤣?
Hahahaaaa. Hebu muacheni Ally Ally apige kazi.Kuna mwenzie mmoja anaitwa Ali Ali nayeye anawalia timing tu
Na wala haitatokea. 😎😎Yetu macho tu, watachapana bakora muda si mrefu
Huyu jamaa alikua anafanya kazi Yanga akiwa nje ya Yanga sasa kahamia Yanga wasimuamini kiviiile atawauza kama walivyokua wakinunuaHahahaaaa. Hebu muacheni Ally Ally apige kazi.
Kikubwa asirudie makosaKarekebisha makosa.
Simuwazii kurudia tena hayo makosa.Huyu jamaa alikua anafanya kazi Yanga akiwa nje ya Yanga sasa kahamia Yanga wasimuamini kiviiile atawauza kama walivyokua wakinunua
Hakika kwani kajifunza tayari.Kikubwa asirudie makosa
Kazi iliyopo asisahau alichojifunzaHakika kwani kajifunza tayari.
Kwani inakua ni makosa basi, anajua anachokifanya, subirini awatendeSimuwazii kurudia tena hayo makosa.
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Hahahaa. Leo umenyweeeea kama sio wewe Mtani.Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Hiyo tunaiita (Correct Score) CS 😅