Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Thread ya wenzetu ina traffic ndogo. Watu washakata tamaa nini? Mpira dakika tisini bwana.
 
yanga funga la tatu , ili tuwe na uakika wa ubingwa
 
Hivi GD ikiwa sawa Tsimba si anakuwa bingwa, ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…