Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

MCHEZO WA YANGA SC VS KMC FC WAHAMISHIWA UWANJA WA TAIFA

Yanga imehamishia uwanja wa Taifa mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa leo Jumatatu, Disemba 02

Awali mchezo huo uliripotiwa kuwa ungepigwa uwanja wa Uhuru hivyo kuna mabadiliko ya viingilio

VIP A ni Tsh 15,000/- VIP B na C ni Tsh 10,000/- Mzunguuko ni Tsh 3,000/- Mchezo utapigwa saa kumi jioni
 
20191202_143349.jpg
 
Back
Top Bottom