Tatizo Mtani mida hiyo nakuwaga busy na mambo mengine nje ya jf.Ulete update
Yah! Game ngumu kweli Mkuu ila kama usemavyo yabidi tujitahidi kushinda hata japo kwa ushindi mwembamba.Game ngumu ili tutashinda kama kawaida, kila la heri wananchi
Wana jangwani wenzako watakusaidiaTatizo Mtani mida hiyo nakuwaga busy na mambo mengine nje ya jf.
Nikuombe basi Mtani utuletee hizo updates kisha mie nakuja alfajiri kumalizia patakapobakia. πππ
Yah! Game ngumu kweli Mkuu ila kama usemavyo yabidi tujitahidi kushinda hata japo kwa ushindi mwembamba.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Kwani ukitusaidia kuna shida gani Mtani. π π πWana jangwani wenzako watakusaidia
Amiin. Japo baada ya hapo mechi inayofuata kama sikosei ni dhidi ya Mikia FC.Inshallah tuombe ushindi tupunguze gap na walio juu, tukutane mida ya game Shadeya
Mi nashangaa mpaka leo kuhusu Kocha Mpya uongozi umekaa kimya sa sijui ndio huu ushindi tunaoupata unawapumbaza na kuona Mkwasa anafaa?Maendeleo ya Uwanja wetu wa mazoezi umefikia wapi na vipi kuhusu kocha mpya
Nawaza ule Uwanja wa Kaunda sijui na Mvua hizi kama upo salama.Maendeleo ya Uwanja wetu wa mazoezi umefikia wapi
Amiin. Japo baada ya hapo mechi inayofuata kama sikosei ni dhidi ya Mikia FC.
Hahahaaa. Mi ni nani hadi nibishe Mkuu.Ni kweli tutapiga na mikia, hawatutishi