Ngasaaaaa wananchi tumeinuka huku
Hii ni habari mbaya kwa viluilui vya Kilomoni fc
Yanga haina ukuta
Mtani ujue kila sehemu hakukosagi wachawi. 😎😎Ahsanteni KMC.
Na kweli kabisa Shadeeya kama hawa KMC wanga wakubwa kabisa wale🤣🤣🤣🤣Mtani ujue kila sehemu hakukosagi wachawi. 😎😎
Siyo mbaya sana hatujafungwa bado hatuko pabaya!
Siyo mbaya sana hatujafungwa bado hatuko pabaya!
Wanaanza kulima mpunga msimu huu wa mvua😎😎😎hizi
Yah! Ni kweli kabisa Mkuu.Siyo mbaya sana hatujafungwa bado hatuko pabaya!
Huu ni zaidi ya uchokozi Ses. Mana hadi sarakasi. 🤣🤣Na kweli kabisa Shadeeya kama hawa KMC wanga wakubwa kabisa wale🤣🤣🤣🤣
Yaani wanadiriki kutoa sare na Chura FC!!!🤣🤣🤣🤸♂️🤸♀️🤸♂️😀😀😀
Si mumrudishe tu Papaa msijisikie vibaya Shadeeya, muombeni radhi arudi kilimo cha nyanya na mpunga kiendelee kwenye bonde la Jangwani🤪🤪🤪Kabisaa haukuwa mchezo rahisi ule. Ila bado nakuwa na mashaka juu ya kocha jamaani au nyie munamuona anafit pale?
kidunula1