Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Alipewa ruhusa mazoezi kaanza Jana jmos atakuepo uwanjani.at least beki ya kushoto kumeanza kukaa sawa sasa hivi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Mkuu. Nikawa nawaza labda yale mambo yetu tunayopitia mara kwa mara ndio yamemfanya asiwe sehemu ya kikosi na kaamua kugoma kimya kimya.
 
Shukran Mkuu. Nikawa nawaza labda yale mambo yetu tunayopitia mara kwa mara ndio yamemfanya asiwe sehemu ya kikosi na kaamua kugoma kimya kimya.
Hapana,nilimsikiliza afisa habari wa klabu akitoa hiyo statement ,alafu kuelekea hii Derby hata kuwe na mgomo wachezaji wanapozwa sana kuwa na amani,pia alisema Niyonzima angewasili jpili sijafuatilia updates zake ila namini jmos atakuepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho nadhani ndo atafika. Halafu sijapenda jinsi wanavyohendo ujio Wa Haruna. Naamini alipaswa kuwa ameshafika siku nyingi kidogo ili akae na wenzie kwa muda japo hata wiki moja na nusu hivi ili watengeneze muunganiko mzuri. Sasa tunamfanya kama yeye ni special sana kiasi kwamba hata akifika ijumaa jumamosi atapaswa kucheza. Hii ni kuifanya timu kama underdog flani ilihali haruna siyo sura ngeni na ni mtu tulomzoea kabisa.

Halafu nimeona Nugaz anasema washabiki watapewa taarifa rasmi ya namna ya kwenda kumpokea uwanja Wa ndege kwa shamrashamra,nadhani hii si sahihi haruna tunamfahamu na wachezaji wengi wanamfahamu,ni mwaka huu huu tu alikuwepo hapa na simba kwa hiyo tusimkuze saaanaaa hadi wachezaji wengine wakaingiwa na vinyongo
 
Umenena mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Af ntachoka atakapoanza kweny gem ya derby, kat akuwa na timu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
POLISI TANZANIA, AZAM FC WAMALIZA SAKATA LA NCHIMBI

Baada ya wadau wa soka kupaza sauti kufuatia uamuzi wa TFF kumnyima leseni mshambuliaji Ditam Nchimbi kuitumikia Yanga kufuatia kuwekewa pingamizi na Polisi Tanzania, viongozi wa klabu ya Azam Fc na wale wa Polisi Tanzania pamoja na TFF wamekutana leo kumaliza sakata la mchezaji huyo

Habari njema ni kuwa mwafaka umefikiwa baada ya pande zote kukubaliana hivyo TFF itatoa leseni ya Nchimbi

Polisi Tanzania imeridhia Nchimbi aitumikie Yanga

Hivyo atakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Simba kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Jumamosi, Januari 04 2020 kwenye uwanja wa Taifa.

@Yangadaima
 
Basi heri. Molinga itabidi aanze benchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…