Yaani kama Niyonzima atapangwa kesho derby basi Yanga itakua haina tofauti na timu za mchangani, haiwezekani mchezaji akasajiriwa siku tatu kabla ya game then umpangeNgoja tuone hiyo chemistry kama itapatikana fasta,mana ni jioni hii na Kesho tu
Kesho nitakuwa Taifa na huwa watu wakiwa wengi hamnaga Mtandao kule. 😎😎😎Kesho pia utume picha
Dooh hili pengo la Lamine Moro ni Kubwa japo naamini Ally Mtoni anaweza kuziba vema tu hyo nafasi. Na sijajua Yirpe kibali kimefika au la! Mana kwa mujibu Wa kocha Tariq nae ni majeruhi
Halafu nimekubahatisha tu kumbe uko hewani Mtani.Nimekumisi Kuona Hii Alert Mpaka Nimehisi Furaha Moyoni,
Wewe Tu Mie Kesho Naingia Kati Ya 6 Mpaka Saba.
Mtani game saa 11 lakini. Kwenda saa sita sio utakuwa umewahi sana hapo?Nimekumisi Kuona Hii Alert Mpaka Nimehisi Furaha Moyoni,
Wewe Tu Mie Kesho Naingia Kati Ya 6 Mpaka Saba.
Yaani Uo Ni Mzuka Na Jukwaa Ntakaloenda Kukaa Nahisi Ntakosa Siti Kuna Siku Nilienda Kilichonikuta Hatari Ndomana Nataka Kuwahi Na Zile Fujo Za Mlangoni Mi Hua Sizifurahii Kiukweli.Mtani game saa 11 lakini. Kwenda saa sita sio utakuwa umewahi sana hapo?
Nipo Ila Nimekua Mpenzi Msomaji Tu.Halafu nimekubahatisha tu kumbe uko hewani Mtani.
Nipo Mtani mi mwenyewe Mmekumiss sana, kwani siku hizi sikuoni oni humu. Shukrani jamani. 🙏🙏🙏
Oukey!! Ntakucheck baadae Mtani.
Hahahaaa. Kama ni hivyo hapo sawa Mtani.Yaani Uo Ni Mzuka Na Jukwaa Ntakaloenda Kukaa Nahisi Ntakosa Siti Kuna Siku Nilienda Kilichonikuta Hatari Ndomana Nataka Kuwahi Na Zile Fujo Za Mlangoni Mi Hua Sizifurahii Kiukweli.
I see, Tanzania ni nchi inayoongoza duniani kwa wingi wa waganga wa kienyeji.Yaani kama Niyonzima atapangwa kesho derby basi Yanga itakua haina tofauti na timu za mchangani, haiwezekani mchezaji akasajiriwa siku tatu kabla ya game then umpange
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh. Sawa Mtani sio mbaya.Nipo Ila Nimekua Mpenzi Msomaji Tu.
Nikuone MtaniHahahaaa. Kama ni hivyo hapo sawa Mtani.
Ondoa hofu Mtani.Nikuone Mtani
Lamine ana kadi tatu za njano ambapo mbili ni za kwenye ligi na moja ni kwenye FA, na kwa mujibu Wa sheria zilivyofanyiwa mabadiliko ma TFF adhabu za kwenye FA na ligi vinafuata mkondo mmoja.
Duuh!! Huyo Tarik kaumia lini kwani?Dooh hili pengo la Lamine Moro ni Kubwa japo naamini Ally Mtoni anaweza kuziba vema tu hyo nafasi. Na sijajua Yirpe kibali kimefika au la! Mana kwa mujibu Wa kocha Tariq nae ni majeruhi
Ila benchi letu la ufundi ni la ajabu kweli sasa waliwapangia nini wakati tuna big match mbele. 😔😔Lamine ana kadi tatu za njano ambapo mbili ni za kwenye ligi na moja ni kwenye FA, na kwa mujibu Wa sheria zilivyofanyiwa mabadiliko ma TFF adhabu za kwenye FA na ligi vinafuata mkondo mmoja.