Mmh. π€π€Heri ya mwaka mpya kiongozi wangu
πSiyo mbaya pia
TAWIREEEE.mtapigwa mpaka msahau njia ya kwendea jangwani.
Mtapigwa mpaka Kilomoni mumuite Kiyomoni, Bi Hindu mumuite Bi Shindu!mtapigwa mpaka msahau njia ya kwendea jangwani.
Amen!!KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 17:00HRS.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
πππAmen!!
Kesho nitakuwa Taifa na huwa watu wakiwa wengi hamnaga Mtandao kule. [emoji41][emoji41][emoji41]
Hivyo Mtani utanisaidia. ππ
Kelele za Chura hazimzuii mnyama Simba kula nyamaTAWIREEEE.
Uzuri simba nae huwa anakufa!Kelele za Chura hazimzuii mnyama Simba kula nyama
Yaani hakuna Siku najiamini Kuwa tutawatandika mikia kama leoTUKUTANE TAIFA. ππππΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ