Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mmh. 🤔🤔Heri ya mwaka mpya kiongozi wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh. 🤔🤔Heri ya mwaka mpya kiongozi wangu
🙏Siyo mbaya pia
TAWIREEEE.mtapigwa mpaka msahau njia ya kwendea jangwani.
Mtapigwa mpaka Kilomoni mumuite Kiyomoni, Bi Hindu mumuite Bi Shindu!mtapigwa mpaka msahau njia ya kwendea jangwani.
Amen!!KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 17:00HRS.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
🙏🙏🙏Amen!!
Kesho nitakuwa Taifa na huwa watu wakiwa wengi hamnaga Mtandao kule. [emoji41][emoji41][emoji41]
Hivyo Mtani utanisaidia. 😛😛
Kelele za Chura hazimzuii mnyama Simba kula nyamaTAWIREEEE.
Uzuri simba nae huwa anakufa!Kelele za Chura hazimzuii mnyama Simba kula nyama
Yaani hakuna Siku najiamini Kuwa tutawatandika mikia kama leoTUKUTANE TAIFA. 😎😎😎🚶♀️🚶♀️🚶♀️