Ha ha ha Power bankUpo sahihi mkuu, lakini hatukupoteza makusudi
Sababu mikia ni weupe sana, angalia hata mpira wanaocheza ni wa kawaida sana japo jana walichezesha kikosi chao cha kwanza
Babu kagere naye tangu anyang'anywe power bank amekuwa akizurura tu uwanjani
Nakubaliana kwamba, kutolewa nusu fainali imetupa fursa ya kujipanga kwenye ligi, ambapo tarehe 15 Januari tunacheza na Kagera
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaaa. Hivi Mtani bado nawaza π€π€π€ ubora wako uko wapi?Azam amfunge nani labda Yanga.
Mie sijambo. Hahahaaa.Shadeeya hujambo? Habari za Unguja. Wahenga walisema kweli kua "uchawi hauvuki bahari"πππ
Dua la kuku hilo Ses.Ila jamaa huyo hua hakai na timu kwa muda mrefu, mkizingua kidogo anasepa zake
Hakika. Na ndio sababu wanaweweseka tu wakitaka tukutane nao tena.Mikia mnajitahidi kupoza machungu kupitia kutolewa kwa Yanga Mapinduzi kapu. Ukweli ni kwamba uwezo tulowaonyesha hauwezi futika ktk kumbukumbu zetu na zenu!
Kabisa Mkuu.Wakati mwingine wachezaji wawe wanaadhibiwa na uongozi kwa matendo yao.
Nipo Binamu. Busy tu.
Tusubiri tuone Mkuu kwani siku zote lisemwalo lipo.HALAFU!!! HIVI NI KWELI JAMES KOTEI ANAKUJA!??
Ndio mana huwa nasema Simba ni timu inayopambwa Mitandaoni na ndio sababu hamna kipya walionyesha dhidi ya Azam na pale waliweka full mkoko.Upo sahihi mkuu, lakini hatukupoteza makusudi
Sababu mikia ni weupe sana, angalia hata mpira wanaocheza ni wa kawaida sana japo jana walichezesha kikosi chao cha kwanza
Babu kagere naye tangu anyang'anywe power bank amekuwa akizurura tu uwanjani
Nakubaliana kwamba, kutolewa nusu fainali imetupa fursa ya kujipanga kwenye ligi, ambapo tarehe 15 Januari tunacheza na Kagera
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikombe cha kwanza hicho. Vichezaji vyenu vya magazetini vinaendelea kuwaaibisha. Nlikuwa mnawashobokea Yanga, si mngepigwa saba au Nane nyie!?Tutachukua kila kikombe ambacho tutashiriki na tunaanza na hili la Mapinduzi then Fa, Ligi kuu, Sportpesa na Cecafa yatafata
Shadeeya.
Sina neno mkuu Simba ni timu ya HOVYO SANA Hakuna timu mule nimekubali Kila kheri Timu ya Wananchi.Kikombe cha kwanza hicho. Vichezaji vyenu vya magazetini vinaendelea kuwaaibisha. Nlikuwa mnawashobokea Yanga, si mngepigwa saba au Nane nyie!?
Halafu Mtani uezi amini mpira ulipoisha tu nkawa nawaza hii post yako. πππ
Tutachukua kila kikombe ambacho tutashiriki na tunaanza na hili la Mapinduzi then Fa, Ligi kuu, Sportpesa na Cecafa yatafata
Shadeeya.
π π π π Pole Mtani.Sina neno mkuu Simba ni timu ya HOVYO SANA Hakuna timu mule nimekubali Kila kheri Timu ya Wananchi.
Mkuu uko vizuri aiseee. Maana umepiga mule mule nawaza tu hali walizonazo hawa ndugu zangu. π€π€Una matamanio mabaya sana wewe. Kwa hii timu yako jiandae kisaikolojia utapata ugonjwa Wa moyo bure