kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Ha ha ha Power bankUpo sahihi mkuu, lakini hatukupoteza makusudi
Sababu mikia ni weupe sana, angalia hata mpira wanaocheza ni wa kawaida sana japo jana walichezesha kikosi chao cha kwanza
Babu kagere naye tangu anyang'anywe power bank amekuwa akizurura tu uwanjani
Nakubaliana kwamba, kutolewa nusu fainali imetupa fursa ya kujipanga kwenye ligi, ambapo tarehe 15 Januari tunacheza na Kagera
Sent using Jamii Forums mobile app