Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Upo sahihi mkuu, lakini hatukupoteza makusudi

Sababu mikia ni weupe sana, angalia hata mpira wanaocheza ni wa kawaida sana japo jana walichezesha kikosi chao cha kwanza

Babu kagere naye tangu anyang'anywe power bank amekuwa akizurura tu uwanjani

Nakubaliana kwamba, kutolewa nusu fainali imetupa fursa ya kujipanga kwenye ligi, ambapo tarehe 15 Januari tunacheza na Kagera

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha Power bank
 
Ndio mana huwa nasema Simba ni timu inayopambwa Mitandaoni na ndio sababu hamna kipya walionyesha dhidi ya Azam na pale waliweka full mkoko.

Yap. Kutolewa hatua ya nusu imetusaidia kwenye kujiandaa kwa mechi ya jumatano.
 
20200113_063214.jpg

KUHUSU MAVAZI MAZURI NA MPANGILIO WA MAVAZI KWA WACHEZAJI YANGA SASA NI KIBOKO YAO, GSM AMEAMUA.
.
Uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na wadhamini wao kampuni ya GSM, wamewekea mkazo utaratibu wa mavazi ya wachezaji na benchi la ufundi.

Utaratibu mpya ni kuwa wachezaji wanapokuwa safarini au nje ya majukumu ya dimbani watavaa mavazi yanayofanana kuanzia juu mpaka chini.

Utaratibu huo pia utalihusu benchi la ufundi.

GSM inaendelea kushusha aina tofauti za mavazi ambayo yatapatikana kwenye maduka yao kwa ajili ya mashabiki pia.
 
Back
Top Bottom