Watamfukuza Okwi........................wala sina shaka na hilo,wapeni muda mtaona..
Hongera sana Watani zetu Yanga mmeonyesha kiwango chenu kwani huo ndiyo uwezo wenu wamechi za kimataifa sisi wapenda soko tunajua mnaareji na mechi za kimataifa....
Hongera sana Yanga. Inauma sana lakini mpira ni ushindani tunawasubiri msimu ujao.
Safi Yanga!! mjiandae na Champions League siyo kila mwaka mnakuwa ngazi!
Nyie mmefika wapi mwaka huu?
TANGAZO RASMI...
Yanga automatically and by virtue of history wameshatolewa kwenye raundi ya mchujo wa klabu bingwa Africa 2012 ...
Asanteni sana
TANGAZO RASMI...
Yanga automatically and by virtue of history wameshatolewa kwenye raundi ya mchujo wa klabu bingwa Africa 2012 ...
Asanteni sana
Amrarue nani Simba la Kibisa???
Acha kabisa, Yanga ni nouma.
Pole sana Crashwise, Ivuga, Invisible, Asprin na Simba fans.
Nadhani kuvuliwa Ubingwa sio ishu, ila ishu ni kuzabwa kofi la upande wa pili wa kiganja game za misho mwisho.
Uningwa huu mtamu balaaa
he he he he ehe he he he he
Yaani hadi Invisible kapoteza hata uwezo wa kupiga watu BAN
Kweli Yanga noma.
Yanga Imetwaa ubingwa wa Ligi, Simba na Yanga walikua wakitofautiana kwa wingi wa magoli tu, ref wa Simba na Majimaji lionesha kila dalili za kuibeba Simba ili ipate goli nyingi zaidi katika game ya leo, lakini penati ya kizushi aloitoa katika dakika za majeruhi iligongeshwa mwamba na emmanuel Okwi na kuipya Yanga Ubingwa wa LIGI.
Safi Yanga!! mjiandae na Champions League siyo kila mwaka mnakuwa ngazi!
Kuna ukweli katika hili ama ushabiki tu?PHP:Uchakachuaji ni mpaka gorini,(kipa wa Toto alikua anajigeuzageuza, wakati mwingine atambaatambaa na mpira gorini akisubiri mchezaji yeyote wa Yanga ajitokeze ili amugongeshe uingie kwenye nyavu ) ndilo soka la kibongo hilo
Simba walikuwa wasindikizaji tu, ila mwenye ligi kaonekana jana, hakuna kipingamizi, ligi ni yanga bana
Sidhani
Maana hata kama Okwi angefunga ile penati bado Yanga angekuwa Bingwa.
Timu zote zingekuwa na goal difference ya 25, lakin kipengele kinachofuata baada ya hicho kilikuwa ni kuangalia nani alimfunga mwenzake walipokutana.