Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Watamfukuza Okwi........................wala sina shaka na hilo,wapeni muda mtaona..

Sidhani
Maana hata kama Okwi angefunga ile penati bado Yanga angekuwa Bingwa.

Timu zote zingekuwa na goal difference ya 25, lakin kipengele kinachofuata baada ya hicho kilikuwa ni kuangalia nani alimfunga mwenzake walipokutana.
 
Hongera sana Watani zetu Yanga mmeonyesha kiwango chenu kwani huo ndiyo uwezo wenu wamechi za kimataifa sisi wapenda soko tunajua mnaareji na mechi za kimataifa....

Mkuu
Nanukuu tu manen yako
Unaweza kuyarudia tena leo????

Usimcheke mamba kabla ya kuvuka mto . . . .
 
Hongera sana Yanga. Inauma sana lakini mpira ni ushindani tunawasubiri msimu ujao.

Mtasubiri sana.....Simba wale akina Kaburu na wenzake wanaendesha timu utadhani kijiwe cha kahawa....mjivue gamba kama CCM...Teh teh teh teh.....!
 
TANGAZO RASMI...

Yanga automatically and by virtue of history wameshatolewa kwenye raundi ya mchujo wa klabu bingwa Africa 2012 ...

Asanteni sana
 
He he he he he he eh eh eh he he heh
Ndio unafuta machozi ya kuzabwa kibao cha sekunde za mwisho namna hiyo.
ha ha ha ha ha ha ha ha
Wenzio wamelala wewe bado uko macho???:love::love::love::love::love::love:
 
TANGAZO RASMI...

Yanga automatically and by virtue of history wameshatolewa kwenye raundi ya mchujo wa klabu bingwa Africa 2012 ...

Asanteni sana

Sasa mrudi jengo lenu pale msimbazi ili muweze kufanya ukarabati wa vyoo na watu waache kunyakunya hovyo
 
Amrarue nani Simba la Kibisa???
Acha kabisa, Yanga ni nouma.
Pole sana Crashwise, Ivuga, Invisible, Asprin na Simba fans.
Nadhani kuvuliwa Ubingwa sio ishu, ila ishu ni kuzabwa kofi la upande wa pili wa kiganja game za misho mwisho.
Uningwa huu mtamu balaaa
he he he he ehe he he he he
Yaani hadi Invisible kapoteza hata uwezo wa kupiga watu BAN
Kweli Yanga noma.

Ha ha ha haaaaa,watasingizia mabadiliko ya tabia nchi yaliwafanya wasione nyavu na kuishia goal kick!
 
Yanga Imetwaa ubingwa wa Ligi, Simba na Yanga walikua wakitofautiana kwa wingi wa magoli tu, ref wa Simba na Majimaji lionesha kila dalili za kuibeba Simba ili ipate goli nyingi zaidi katika game ya leo, lakini penati ya kizushi aloitoa katika dakika za majeruhi iligongeshwa mwamba na emmanuel Okwi na kuipya Yanga Ubingwa wa LIGI.

Kweli bwana.
 
Simba walikuwa wasindikizaji tu, ila mwenye ligi kaonekana jana, hakuna kipingamizi, ligi ni yanga bana
 
PrN-Kazi acha uzushi,Kipa wa Toto angekuwa anagongesha wachezaji wa Yanga isingefika dakika ya 89 ndo wapate goal la 3, umgongeshe Mwape mpira unajitakia nini ikiwa mpaka leo hii Ivo Mapunda anauguza vidole vilivyoteguka kwa shuti lake la Meter 20, sembuse papo kwa hapo.

Kwa taarifa yenu Simba ndo waliowasafirisha Majimaji kutoka Songea kuja Dar kwaajili ya ile game, ksbb Jamaa ilikuwa wasije na Card zile nyekundu, faulo za ajabuajabu ilikuwa ni katika kuwatengenezea jamaa mazingira ya kushinda 7,lkn ksbb Simba hii iliyocheza mechi 3 za mwisho ni Kiwete walishindwa kabisa kutumia hiyo nafasi.
 
PHP:
Uchakachuaji ni mpaka gorini,(kipa wa Toto alikua anajigeuzageuza, wakati mwingine atambaatambaa na mpira gorini akisubiri mchezaji yeyote wa Yanga ajitokeze ili amugongeshe uingie kwenye nyavu ) ndilo soka la kibongo hilo
Kuna ukweli katika hili ama ushabiki tu?
 
Sidhani
Maana hata kama Okwi angefunga ile penati bado Yanga angekuwa Bingwa.
Timu zote zingekuwa na goal difference ya 25, lakin kipengele kinachofuata baada ya hicho kilikuwa ni kuangalia nani alimfunga mwenzake walipokutana.

Wangechukua jamaa,kigezo cha 2 ni nani ana goal for nyingi then ndo wangecheki head on kati yao.
 
Back
Top Bottom