Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Aisee chirwaaaaaaaa goooaallll tatuuu, Obrey Chirwa anasukumiza kunyavu msumari wa tatu. Azam 3 - 0 Yanga dk 50.Tunashinda hii mechi Mtani. Hamna wa kunyweshwa Ukwaju wala kula Ice Cream leo.
#Hebuwachakuwangabasimtani.
Kwako Mwl Kashasha