Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mtani mtani mtani. 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani mtani mtani. 🤔
Kweli shemela.Hebu niache leo Weekend Mtani. 💃💃💃
Shem hivi mdudu gani huyo anatuganda kiasi hiki?Kweli shemela.
Sijaelewa shemela, nadhihakiwa mbaya.Shem hivi mdudu gani huyo anatuganda kiasi hiki?
Yaani kama mie nawaza wale nliowatambia ijumaa pale kwa Muhindi nawaangalia kwa jicho gani shemela.Sijaelewa shemela, nadhihakiwa mbaya.
Ila tutakaa sawa tu Shemela. Japo kwa mbaali ubingwa tuusahau tu.Ni kwikwi ni shida...
Ila tutakaa sawa tu Shemela. Japo kwa mbaali ubingwa tuusahau tu.
Hahahaaaa!! Hata sijui Mtani.Halafu humu JF mbona kama zigo la Yanga umeachiwa peke yako?
Au wenzio washahamia Simba
Hahahaaaa!! Hata sijui Mtani.
Mimi Yanga niliipenda mwenyewe Mtani.
Hahahaaa!! Lol. Mi wala siteseki Mtani.Tafuta ujue wenzio walikokimbilia.
Usiteseke mwenyewe mwenyewe
Hahahaaa!! Lol. Mi wala siteseki Mtani.
Naona mumeona mwezi huko. Teh teh
Yaani ni kwikwi....Yaani kama mie nawaza wale nliowatambia ijumaa pale kwa Muhindi nawaangalia kwa jicho gani shemela.
Tunajua ndio mpira lakini isiwe kiasi hiki aiseee.
Kuna ushauri hua nakupa kila siku sijui kwanini hutaki kuufata Shadeeya!!!Hahahaaaa!! Hata sijui Mtani.
Mimi Yanga niliipenda mwenyewe Mtani.
Hahahaaa. Hebu huko. 💃💃💃Kuna ushauri hua nakupa kila siku sijui kwanini hutaki kuufata Shadeeya!!!
Kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema, na tafsiri yake ni hii "Kama huwezi kupambana nao/kuwashinda basi jiunge nao"
Sina ushauri mpya kwa leo 😀😀😀
Kwanini uteseke? Chukua hatua hamia Simba weweHahahaaaa!! Hata sijui Mtani.
Mimi Yanga niliipenda mwenyewe Mtani.
Ila mna tabu sana nyie. Lol.Kwanini uteseke? Chukua hatua hamia Simba wewe
Hamia kwa Mnyama acha ubishi wewe.Ila mna tabu sana nyie. Lol.
Nifate nini huko?