Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

naona hiki kikundi cha wahuni na wavuta bangi kilichojiingiza kwenye mpra mmeamua kutulia tuu.
 
Hahahaaaa!! Hata sijui Mtani.

Mimi Yanga niliipenda mwenyewe Mtani.
Kuna ushauri hua nakupa kila siku sijui kwanini hutaki kuufata Shadeeya!!!

Kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema, na tafsiri yake ni hii "Kama huwezi kupambana nao/kuwashinda basi jiunge nao"

Sina ushauri mpya kwa leo 😀😀😀
 
Hahahaaa. Hebu huko. 💃💃💃
 
Ila mna tabu sana nyie. Lol.

Nifate nini huko?
Hamia kwa Mnyama acha ubishi wewe.
2254965_IMG_20191224_140824.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom