Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Aisee chirwaaaaaaaa goooaallll tatuuu, Obrey Chirwa anasukumiza kunyavu msumari wa tatu. Azam 3 - 0 Yanga dk 50.Tunashinda hii mechi Mtani. Hamna wa kunyweshwa Ukwaju wala kula Ice Cream leo.
#Hebuwachakuwangabasimtani.
Naamini hili ni dua la kuku tu Mtani. πππSawa Mtani, mimi naiombea Azam ipate matokeo mazuri.
Wacha nikusaidie kucheka Mtani. ππππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Naamini hili ni dua la kuku tu Mtani. πππ
Mimi natabiria tunashinda 2 - 1 mtani.Aisee chirwaaaaaaaa goooaallll tatuuu, Obrey Chirwa anasukumiza kunyavu msumari wa tatu. Azam 3 - 0 Yanga dk 50.
Kwako Mwl Kashasha
Leo ndio Leo mtakomaNaamini hili ni dua la kuku tu Mtani. [emoji41][emoji41][emoji41]
Yap Mtani. Japo nalog out muda si mrefu tutakutana kesho.Bado dakika 52 mpira uanze.
Yap Mtani. Japo nalog out muda si mrefu tutakutana kesho.
Aiseee mkishinda leo nakuruhusu unipige makonzi Matatu ya nguvu Shadeeya.Mimi natabiria tunashinda 2 - 1 mtani.
Wacha nikusaidie kucheka Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahahahahahah Matokeo mmeyapa kweli.Tusubiri tuone Mtani. Kesho asubuhi tu ntakuja tuangalie. Japo sidhani. π
Leo tunapata matokeo.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Unashinda 2 - 1 kwa tinu gani????Mlionayo nyie.Mimi natabiria tunashinda 2 - 1 mtani.
Midomo yenu mibaya sana Mtani. ππ
Daah!! π€π€π€Aiseee mkishinda leo nakuruhusu unipige makonzi Matatu ya nguvu Shadeeya.
#leohataazamichezebilakipahamshindi
Mbona timu yetu ilicheza vizuri tu Mtani. Haikuwa tu bahati kwetu.Unashinda 2 - 1 kwa tinu gani????Mlionayo nyie.