Hivi kwa Yanga ile unathubutu kabisa kusema Singida hajatukazia? π€π€ Hebu kuwa serious kidogo Ses. πKama Singida wangewakazia leo si ingekua timuatimua pale Jangwani? Washukuruni basi japo kidogo Shadeeya
Si zinakuja mechi zingine muda si mrefu? Mkipata matokeo kama haya ya jana kwenye mechi mbili mfululizo uje uchukue zawadi yako maana nina hakika hamtoboi Wallah nakwambia Shadeeyaπ€£π€£π€£Hivi kwa Yanga ile unathubutu kabisa kusema Singida hajatukazia? π€π€ Hebu kuwa serious kidogo Ses. π
Ila kama nawaona kilivyowauma kumoyo. ππ
Mkibahatishaga kushinda mnakua na mbwembwe nyinyiπ€£π€£π€£Mtani una lingine? π€£
Hahahaa. lol.Mkibahatishaga kushinda mnakua na mbwembwe nyinyiπ€£π€£π€£
Hahaha mshaanza kukubali [emoji848]Ila tutakaa sawa tu Shemela. Japo kwa mbaali ubingwa tuusahau tu.
Acha ikuue,Ikutese potelea MbaliHahahaaaa!! Hata sijui Mtani.
Mimi Yanga niliipenda mwenyewe Mtani.
Kukubali kufanyaje Mtani?
Haswaaa. πππ
Hahahaaa!! Itakuwa too much sasa kupoteza na game ya leo Mtani.
Yaani jana kanisuuza sana Swahiba.Yule morrison kwenye pitch nzuri atavunja watu viuno,si kwa vibaiskeli vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani jana kanisuuza sana Swahiba.
Naombea uwe mwanzo mzuri kwake ili tuvunje watu viuno kama usemavyo. [emoji3][emoji3]
Za asubuhi njema kabisa Mtani. Sijui kwako Mtani?Mtani za asubuhi.
Kabla sijakupa hongera kwa mechi ya jana, unalizungumziaje lile goli la kwanza la Yanga?
Unahitaji VAR kuona kama ile ni offside?
Wajiandae hasa swahibaYaani jana kanisuuza sana Swahiba.
Naombea uwe mwanzo mzuri kwake ili tuvunje watu viuno kama usemavyo. ππ
Oooh!! Kwa jana nadhani hata mpira wenyewe hakuugusa. Kocha aje ampange mapema naye tuone makali yake.Kuna yule alieingia dk za mwisho kabamba nae nasikia ni kama Morrison tatizo wote wanacheza upande mmoja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule alieingia dk za mwisho kabamba nae nasikia ni kama Morrison tatizo wote wanacheza upande mmoja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tff hawakawii kumfungia kwa kufanya vitu vya ajabu na visivyozoeleka uwanjaniYule morrison kwenye pitch nzuri atavunja watu viuno,si kwa vibaiskeli vile
Sent using Jamii Forums mobile app