Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hivi kwa Yanga ile unathubutu kabisa kusema Singida hajatukazia? 🤔🤔 Hebu kuwa serious kidogo Ses. 😎Kama Singida wangewakazia leo si ingekua timuatimua pale Jangwani? Washukuruni basi japo kidogo Shadeeya
Ila kama nawaona kilivyowauma kumoyo. 😂😂