Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kama Singida wangewakazia leo si ingekua timuatimua pale Jangwani? Washukuruni basi japo kidogo Shadeeya
Hivi kwa Yanga ile unathubutu kabisa kusema Singida hajatukazia? 🤔🤔 Hebu kuwa serious kidogo Ses. 😎

Ila kama nawaona kilivyowauma kumoyo. 😂😂
 
Hivi kwa Yanga ile unathubutu kabisa kusema Singida hajatukazia? 🤔🤔 Hebu kuwa serious kidogo Ses. 😎

Ila kama nawaona kilivyowauma kumoyo. 😂😂
Si zinakuja mechi zingine muda si mrefu? Mkipata matokeo kama haya ya jana kwenye mechi mbili mfululizo uje uchukue zawadi yako maana nina hakika hamtoboi Wallah nakwambia Shadeeya🤣🤣🤣
 
Yanga wakipata forward wa kati mzuri akiwa analishwa na huyu Morson watakuwa wanapata matokeo mazuri. Huyu MOLINGA hana nguvu za miguu ama anajidondosha makusudi muda wote bila kujua muda unatembea
 
Mtani za asubuhi.

Kabla sijakupa hongera kwa mechi ya jana, unalizungumziaje lile goli la kwanza la Yanga?

Unahitaji VAR kuona kama ile ni offside?
Za asubuhi njema kabisa Mtani. Sijui kwako Mtani?

Mbona goli liko sawa Mtani sijaona Offside pale bwana. Mi hofu yangu mwanzo nilijua kafunga na mkono baada ya ule mpira kumgonga kuja kuangalia vizuri kafunga na kifua.

 
Back
Top Bottom