Sahzi natamani hata baadae Leo Yanga icheze tena ili niburudike. Na wana Simba nao wanaombea hivyohivyo mana burudani tunaipata woteTimu inaburudisha sasa sio ile ya Zahera.
Yaani unaangalia mpira Timu ya Wananchi huku moyo ukiwa na amani kabisa.
Sahzi natamani hata baadae Leo Yanga icheze tena ili niburudike. Na wana Simba nao wanaombea hivyohivyo mana burudani tunaipata woteTimu inaburudisha sasa sio ile ya Zahera.
Yaani unaangalia mpira Timu ya Wananchi huku moyo ukiwa na amani kabisa.
Kabisa asee focus kubwa iwekwe fa ili tulibebe hilo kombeHakika Mkuu.
Pia mashabiki tulijitahidi kuwa wavumilivu mana Luc alikuja na gundu tukapoteza mechi mbili ile ya Azam na Kagera ambapo upande wa pili walianza kumbeza kumbe lilikuwa swala la muda tu.
Nina imani tutazidi kufanya vizuri zaidi huko mbeleni na pia yabidi nguvu zaidi tuzihamishie kwenye FA ili kuzidi kujihakikishua kucheza kimataifa mwakani.
Hahaha ulitakiwa uniambie good try😜Hahahahaa. Lol.
Mtani huwa nasemaga sikuzote chepesi kutabiri ni mvua tu. 🤣🤣
Ndio Mtani ila nadhani Luc nalo kaliona atalifanyia kazi.Hahahaha, ila naona kuna mipira mingi mnapoteza kati, all in all mnacheza vzr
Ni hatari itakuwa Mkuu.Doooh huko si ndo watakutana na gari lililogoma kupunguza mwendo!?
Exactly.Kabisa asee focus kubwa iwekwe fa ili tulibebe hilo kombe
Hahahaaa. Usijali Mtani. Pamoja.Hahaha ulitakiwa uniambie good try😜
Hongereni kwa ushindi aisee
Simba nguvu moja
Hii no gymkhana au wapi?
Hio ni mitaa ya TCRA. Jirani na hostel mpya zile zilizojengwa na jiwe.Hii no gymkhana au wapi?
Agreed.I agree that Yanga is the team with the best record in the country! All in all the Sunday action is a worry to us dear Yanga and now we have to spend three years outside of CECAFA football! The leaders we have see no scope at all. I think there is a lot to be proud of but in recent years we have not been getting the pleasure we deserve.
Viwanja vya chuo kikuuu? Maana yanga naona camp ni pale Regency hotel mikocheniHio ni mitaa ya TCRA. Jirani na hostel mpya zile zilizojengwa na jiwe.
Hilo gorofa linaloonekana ni lile jengo jipya. Ambalo limejengwa Sam nujuma road. Jirani na ile njia panda ya kwenda sinza makuburini.
Shadeeya kwani uwanja wa Kaunda Wa mazoezi haujakamilika tu mtani