Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Timu inaburudisha sasa sio ile ya Zahera.

Yaani unaangalia mpira Timu ya Wananchi huku moyo ukiwa na amani kabisa.
Sahzi natamani hata baadae Leo Yanga icheze tena ili niburudike. Na wana Simba nao wanaombea hivyohivyo mana burudani tunaipata wote
 
Hakika Mkuu.

Pia mashabiki tulijitahidi kuwa wavumilivu mana Luc alikuja na gundu tukapoteza mechi mbili ile ya Azam na Kagera ambapo upande wa pili walianza kumbeza kumbe lilikuwa swala la muda tu.

Nina imani tutazidi kufanya vizuri zaidi huko mbeleni na pia yabidi nguvu zaidi tuzihamishie kwenye FA ili kuzidi kujihakikishua kucheza kimataifa mwakani.
Kabisa asee focus kubwa iwekwe fa ili tulibebe hilo kombe
 
MAZOEZI YA TIMU YA WANANCHI HAPO JANA KUELEKEA MECHI NA LIPULI HAPO JUMATANO.

20200204_081122.jpg
 
I agree that Yanga is the team with the best record in the country! All in all the Sunday action is a worry to us dear Yanga and now we have to spend three years outside of CECAFA football! The leaders we have see no scope at all. I think there is a lot to be proud of but in recent years we have not been getting the pleasure we deserve.
Agreed.
 
Hio ni mitaa ya TCRA. Jirani na hostel mpya zile zilizojengwa na jiwe.

Hilo gorofa linaloonekana ni lile jengo jipya. Ambalo limejengwa Sam nujuma road. Jirani na ile njia panda ya kwenda sinza makuburini.

Shadeeya kwani uwanja wa Kaunda Wa mazoezi haujakamilika tu mtani
Viwanja vya chuo kikuuu? Maana yanga naona camp ni pale Regency hotel mikocheni
 
Back
Top Bottom