Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Wa kusukuma damu na wakupenda pia, maana si kwa kuitetea hivyo Chura FC wakati unajua kabisaa huna timu pale na kwamba tarehe nane machi twente twente mnapapaswa🤪🤪🤪Hahahaaa!! Moyo wa nini Sa? 😎
Kukata tamaa kwangu huwa haipo hiyo.Wa kusukuma damu na wakupenda pia, maana si kwa kuitetea hivyo Chura FC wakati unajua kabisaa huna timu pale na kwamba tarehe nane machi twente twente mnapapaswa🤪🤪🤪
Ngoja nimuunge mkono Haji, nisiongee sana na mimi kuhusu dabiKukata tamaa kwangu huwa haipo hiyo.
Hasa kwenye hizi Derby ambazo haziezi tabirika japo Danpol alisema inaezekana.
wanajitahidi kuurudishia mlango lakini ndo hivyo simba amewazidi nguvu, kinachofuata ni kuliwa tu
Kuitetete Yanga hivi Wakati hali halisi inanyesha kuna hatari iko mbeleHahahaaa!! Moyo wa nini Sa? [emoji41]
Ninachowakubali watani ni hiyo kauli mbiu yenu yaani mnaendana kabisa na misingi ya diniHebu tuwache hukoo. [emoji126][emoji126][emoji126]
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Mje tu taratibu tutawapokea. Najua soon utakubali kingine toka kwa Wananchi.Ninachowakubali watani ni hiyo kauli mbiu yenu yaani mnaendana kabisa na misingi ya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya nini kuja kufa mapema kupenda vitu vya pressureMje tu taratibu tutawapokea. Najua soon utakubali kingine toka kwa Wananchi.
Kama ni kufa mapema si wengine hata tusingekuwepo mpaka uzee huu.
Usifananishe YANGA na wauza ice-cream.