Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mwenyekiti wa Young Africans Mshindo Msolla hapo jana alikamkabidhi Tuzo maalumu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF Ahmad Ahmad kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa.
 
Mtani kwa hii kauli sijui kama ntakuona leo au kujibu quote zangu zaidi ya likes tu πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipo napunga upepo hapa kwenye kisredi chenu🐸🐸🐸🐸🐸

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
Na tumewatandika bakora moja matata sana.
Wanatamani waseme Yanga ni mbovu ila kila wakikumbuka jinsi tulivyosawazisha kwenye ile mechi ya kwanza na kipigo toka kwa mwamba Morrison Bernard inabidi wanyamaze kama wamehost msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…