Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mtani una lingine? 💃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani una lingine? 💃
Saizi kimya kama maji kwenye mtungi,mpaka muimba taarabu wao amesurrenderNugaz alisema bila janja janja hawatuwezi hao M b u m b u m b u
Makapu amezaliwa upyaaaaaaaAKILI KUBWA.
Yeah baada ya press conference,ndiyo nikajua,jana sikuenda nipo mkoani kidogoHukwenda Uwanjani nini Kaka?
Aliumia pale yaani alikuwa anajilazimisha tu.
Nyie wachawi sijapata onaSawa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Niponakusubiri.
Nipo napunga upepo hapa kwenye kisredi chenu🐸🐸🐸🐸🐸Mtani kwa hii kauli sijui kama ntakuona leo au kujibu quote zangu zaidi ya likes tu 😂😂
Wanatamani waseme Yanga ni mbovu ila kila wakikumbuka jinsi tulivyosawazisha kwenye ile mechi ya kwanza na kipigo toka kwa mwamba Morrison Bernard inabidi wanyamaze kama wamehost msiba.Na tumewatandika bakora moja matata sana.
Kisheria anatakiwa afungiwe kuanzia mechi tatu na kuendelea.HIVI MLIONA ALICHOKIFANYA CHAMA KWA FEISAL?
Japo naamini Rais Wa TFF alihuzunika sana. Na sijui kama hata chakula alikula hiyo jana
Tumeongeza pengo la historia na rekodi sasa tumewapiga mbele ya Marais watatu Rais wa Nchi ya Tanzania , Rais wa Caf na Rais wa TFF.
Rekodi hii wataisaka milele
#Hassan Bumbuli.
The controllerJANA KAUPIGA MWINGI SANAA.
Ahhh ki Morison
Ila mvumilivu sana yule jamaa.Makapu amezaliwa upyaaaaaaa
Tumewakomesha. 😀😀Saizi kimya kama maji kwenye mtungi,mpaka muimba taarabu wao amesurrenderView attachment 1381619
Pole Ndugu. Ulipitwa. 😀😀Yeah baada ya press conference,ndiyo nikajua,jana sikuenda nipo mkoani kidogo
Hahahaaa. Hebu ngoja nicheke kwanza. 😀😀😀
Yaani uchawi tushindwe kuutumia mechi zile tulizofungwa na kupata sare tuje tutumie kwenu kweli. 🤔🤔