Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Na mimi nilishawahi kumsikia huyo bingwa nikawa najua ni kiongozi wa Chura FC kumbe kishokaHivi ni nani anasemewa hapa jamaani? π€π€π€π€π€
kidunula1 na Chikwuemeka mnaumjua huyu mana anataka kutuvuruga.
Ni nani mana sijamjua bado?Na mimi nilishawahi kumsikia huyo bingwa nikawa najua ni kiongozi wa Chura FC kumbe kishoka
Ila atakuwa ana lake jambo sa sijui alitegemea kupata faida gani? Au mumemtuma nyie mikia?. πNa mimi nilishawahi kumsikia huyo bingwa nikawa najua ni kiongozi wa Chura FC kumbe kishoka
Kwakweli jina hata simkumbukiNi nani mana sijamjua bado?
Hahahaaa. Haya.Kwakweli jina hata simkumbuki
Nimeshalipata jina anaitwa Juma Magoma.Kwakweli jina hata simkumbuki
HuyohuyooooNimeshalipata jina anaitwa Juma Magoma.
Nimemsikiliza ila tusubiri tuone maana naona mauza uza.Huyohuyoooo
Unajua Shadeeya kila mahali kuna taratibu zake. Hata kwenye hili janga la corona serikali ingeruhusu kila mtu aongee la kwake ingesababisha taharuki kubwa. Kuna watu wamejaaliwa kipaji cha kutengeneza maneno utafikiri ni ya kweliNimemsikiliza ila tusubiri tuone huenda akawa anayajua mengi bali uongozi unataka kumfumba mdomo.
Hivi ni nani anasemewa hapa jamaani? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
kidunula1 na Chikwuemeka mnaumjua huyu mana anataka kutuvuruga.
Daaa halafu sahizi mimi huwa sipati notifications za JF wangu hivyo huwa naingia kibubu bubu tu. Nshahangaika sana na Mods lakini naona wameshindwa,japo nimeona wengi sana pia wakilalamikia hili.Hivi ni nani anasemewa hapa jamaani? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
kidunula1 na Chikwuemeka mnaumjua huyu mana anataka kutuvuruga.
Sijasema mbona kama namuamini.Unajua Shadeeya kila mahali kuna taratibu zake. Hata kwenye hili janga la corona serikali ingeruhusu kila mtu aongee la kwake ingesababisha taharuki kubwa. Kuna watu wamejaaliwa kipaji cha kutengeneza maneno utafikiri ni ya kweli
Kwenye kila taasisi kunapokua na msemaji anaeleweka basi kila jambo litajulikana kwa wakati. Kinyume cha hapo ni kumkaribisha bundi kwenye timu yenu.
Nashangaa mnataka kumuamini huyo jamaa na kuwapuuza viongozi wenu. Huoni kua mnaikana ile kaulimbiu yenu pendwa ya "Daima mbele nyuma nini vileeπ€ͺ"?
Tumia browser bro ndio mwisho wa matatizo.Daaa halafu sahizi mimi huwa sipati notifications za JF wangu hivyo huwa naingia kibubu bubu tu. Nshahangaika sana na Mods lakini naona wameshindwa,japo nimeona wengi sana pia wakilalamikia hili.
Lakini jaribuni kujilazimisha kuuamini uongozi wa klabu mliouchagua wenyewe mtavuka salama. Wengine hao ni wakuwasikiliza kwa sikio moja na kuacha yatokee sikio la piliSijasema mbona kama namuamini.
Unajua timu hizi kuna saa mambo zinafukuta huko ikitokea chaumbea kayamwaga lazima uongozi ukatae ili wapate kuyaweka sawa na kwa Soka la Tanzania hayo yapo.
Mchumia tumbo mmoja wa kuitwa magoma,amepewa jukumu la kurithi mikoba ya mzee akilimali kutuvuruga na jamaa zetu wa uoande pili,lakini atowezaNi nani mana sijamjua bado?
Unajua Simba haipendi kutafuna Yanga gonjwagojwa. Inataka kutafuna Yanga iliyonona, kwa hiyo migogoro yenu inatupa simanzi piaπ€ͺSijasema mbona kama namuamini.
Unajua timu hizi kuna saa mambo zinafukuta huko ndani ikitokea chaumbea kayamwaga lazima uongozi ukatae ili wapate kuyaweka sawa na kwa Soka la Tanzania hayo yapo.
Mi mwenyewe huwa nashangaa kwa nini hawalalamiki. Itakuwa wanaona sawa labda.Kuna mwanachama anaitwa Juma Magoma msikilize hapo. Ika mi pia huwa naingiwa na wasiwasi nae hawa viongozi. Kwa nini simba wanabebwa waziwazi katika mechi nyingi sana na inaonyesha wameandaliwa ubingwa kabisa na uongozi haujawahi toa tamko au malalamiko? Kuhusu kushirikiana na makonda sidhani,ila viongozi naona kama kuna walakini
Kuumbe. Ila wanakeraga sana yaani kaona tunataka kusimama anaanza kusambaza habari za uongo. Aiseee.Mchumia tumbo mmoja wa kuitwa magoma,amepewa jukumu la kurithi mikoba ya mzee akilimali kutuvuruga na jamaa zetu wa uoande pili,lakini atoweza
Toka lini basi mkawa wema namna hii πΆββοΈπΆββοΈUnajua Simba haipendi kutafuna Yanga gonjwagojwa. Inataka kutafuna Yanga iliyonona, kwa hiyo migogoro yenu inatupa simanzi piaπ€ͺ
Hata vitabu vya dini vinasema "mpende adui yako". Tunaipenda sana YangaπππToka lini basi mkawa wema namna hii πΆββοΈπΆββοΈ