Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nimemsikiliza ila tusubiri tuone huenda akawa anayajua mengi bali uongozi unataka kumfumba mdomo.
Unajua Shadeeya kila mahali kuna taratibu zake. Hata kwenye hili janga la corona serikali ingeruhusu kila mtu aongee la kwake ingesababisha taharuki kubwa. Kuna watu wamejaaliwa kipaji cha kutengeneza maneno utafikiri ni ya kweli

Kwenye kila taasisi kunapokua na msemaji anaeleweka basi kila jambo litajulikana kwa wakati. Kinyume cha hapo ni kumkaribisha bundi kwenye timu yenu.

Nashangaa mnataka kumuamini huyo jamaa na kuwapuuza viongozi wenu. Huoni kua mnaikana ile kaulimbiu yenu pendwa ya "Daima mbele nyuma nini vilee🤪"?
 
Hivi ni nani anasemewa hapa jamaani? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

kidunula1 na Chikwuemeka mnaumjua huyu mana anataka kutuvuruga.

Kuna mwanachama anaitwa Juma Magoma msikilize hapo. Ika mi pia huwa naingiwa na wasiwasi nae hawa viongozi. Kwa nini simba wanabebwa waziwazi katika mechi nyingi sana na inaonyesha wameandaliwa ubingwa kabisa na uongozi haujawahi toa tamko au malalamiko? Kuhusu kushirikiana na makonda sidhani,ila viongozi naona kama kuna walakini
 
Attachments

  • VID-20200324-WA0013.mp4
    6.4 MB
Hivi ni nani anasemewa hapa jamaani? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

kidunula1 na Chikwuemeka mnaumjua huyu mana anataka kutuvuruga.
Daaa halafu sahizi mimi huwa sipati notifications za JF wangu hivyo huwa naingia kibubu bubu tu. Nshahangaika sana na Mods lakini naona wameshindwa,japo nimeona wengi sana pia wakilalamikia hili.
 
Unajua Shadeeya kila mahali kuna taratibu zake. Hata kwenye hili janga la corona serikali ingeruhusu kila mtu aongee la kwake ingesababisha taharuki kubwa. Kuna watu wamejaaliwa kipaji cha kutengeneza maneno utafikiri ni ya kweli

Kwenye kila taasisi kunapokua na msemaji anaeleweka basi kila jambo litajulikana kwa wakati. Kinyume cha hapo ni kumkaribisha bundi kwenye timu yenu.

Nashangaa mnataka kumuamini huyo jamaa na kuwapuuza viongozi wenu. Huoni kua mnaikana ile kaulimbiu yenu pendwa ya "Daima mbele nyuma nini vilee🤪"?
Sijasema mbona kama namuamini.

Unajua timu hizi kuna saa mambo zinafukuta huko ndani ikitokea chaumbea kayamwaga lazima uongozi ukatae ili wapate kuyaweka sawa na kwa Soka la Tanzania hayo yapo.
 
Daaa halafu sahizi mimi huwa sipati notifications za JF wangu hivyo huwa naingia kibubu bubu tu. Nshahangaika sana na Mods lakini naona wameshindwa,japo nimeona wengi sana pia wakilalamikia hili.
Tumia browser bro ndio mwisho wa matatizo.
 
Sijasema mbona kama namuamini.

Unajua timu hizi kuna saa mambo zinafukuta huko ikitokea chaumbea kayamwaga lazima uongozi ukatae ili wapate kuyaweka sawa na kwa Soka la Tanzania hayo yapo.
Lakini jaribuni kujilazimisha kuuamini uongozi wa klabu mliouchagua wenyewe mtavuka salama. Wengine hao ni wakuwasikiliza kwa sikio moja na kuacha yatokee sikio la pili
 
Sijasema mbona kama namuamini.

Unajua timu hizi kuna saa mambo zinafukuta huko ndani ikitokea chaumbea kayamwaga lazima uongozi ukatae ili wapate kuyaweka sawa na kwa Soka la Tanzania hayo yapo.
Unajua Simba haipendi kutafuna Yanga gonjwagojwa. Inataka kutafuna Yanga iliyonona, kwa hiyo migogoro yenu inatupa simanzi pia🤪
 
Kuna mwanachama anaitwa Juma Magoma msikilize hapo. Ika mi pia huwa naingiwa na wasiwasi nae hawa viongozi. Kwa nini simba wanabebwa waziwazi katika mechi nyingi sana na inaonyesha wameandaliwa ubingwa kabisa na uongozi haujawahi toa tamko au malalamiko? Kuhusu kushirikiana na makonda sidhani,ila viongozi naona kama kuna walakini
Mi mwenyewe huwa nashangaa kwa nini hawalalamiki. Itakuwa wanaona sawa labda.
 
Mchumia tumbo mmoja wa kuitwa magoma,amepewa jukumu la kurithi mikoba ya mzee akilimali kutuvuruga na jamaa zetu wa uoande pili,lakini atoweza
Kuumbe. Ila wanakeraga sana yaani kaona tunataka kusimama anaanza kusambaza habari za uongo. Aiseee.

Nauliza kwani hakuna hatua za kumchukulia mana nasikia ni Mwanachama.

Uongozi kuandika barua ya kukanusha pekee kwangu naona haisaidii.
 
Back
Top Bottom