Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Dah! Afadhali maana kuna watu humu pressure iliku 200!😀😀😀Za chini chini GSM imerudi, ila viongozi wa Yanga wanapaswa kufikiria nje ya box
Haya mambo ya mtu akikohoa kidogo wengine mnabaki bila amani ni ya kizamani sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo mumefurahi wenyewe.GSM zigo limemshindaa.[emoji17][emoji17][emoji17].
Zigo halibebeki[emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio wakati wa washabiki na wapenzi wa Yanga kudhihirisha kuwa kweli Yanga ni timu ya wananchi kweli kweli. Inatakiwa kufukuza viongozi wote wa Yanga kisha timu ikabidhiwe GSM. Timu ya wananchi waamuzi ni wananchi wenyewe.Dah! Afadhali maana kuna watu humu pressure iliku 200![emoji3][emoji3][emoji3]
Duuhh!!Za chini chini GSM imerudi, ila viongozi wa Yanga wanapaswa kufikiria nje ya box
Haya mambo ya mtu akikohoa kidogo wengine mnabaki bila amani ni ya kizamani sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwachee. 💃💃💃Dah! Afadhali maana kuna watu humu pressure iliku 200!😀😀😀
Mbumbumbu fc.limewashukaaaaaDuuhh!!
Hakika usemalo kama wanaeza wafanye mchakato wa mabadiliko mana hatutaki kuishi kwa mashaka kiasi hiki.
Daaah!! Afadhali aiseee.
Upitie dukani kwa mangi japo ujipoze na soda barrriiiidi🤪🤪🤪View attachment 1398980
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO. 💃💃💃
Walambe ndimu kwa kweli. 😅😅😅
Na hii ndio itakuwa suluhisho aisee. Tuachage zile mambo za zamani na sisi tuendeshwe kisasa.Huu ndio wakati wa washabiki na wapenzi wa Yanga kudhihirisha kuwa kweli Yanga ni timu ya wananchi kweli kweli. Inatakiwa kufukuza viongozi wote wa Yanga kisha timu ikabidhiwe GSM. Timu ya wananchi waamuzi ni wananchi wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua tena tulishaisahau nguvu ya buku sasa hao wanga walikuwa wanataka kuturudisha tena kule.Upitie dukani kwa mangi japo ujipoze na soda barrriiiidi🤪🤪🤪
Pole lakini kwa taarifa zilizowakosesha raha mchana kutwa😀😀😀
Mkawa mnawaombea dua washindwe na walegee😀😀😀. Haya bana Shadeeya naona dua yenu imekubaliwa😀😀😀Unajua tena tulishaisahau nguvu ya buku sasa hao wanga walikuwa wanataka kuturudisha tena kule.
Mbona wanaagana usiku mwema hii ya lini?
Hizi mambo ziache Ses. 😀😀😀Upitie dukani kwa mangi japo ujipoze na soda barrriiiidi🤪🤪🤪
Pole lakini kwa taarifa zilizowakosesha raha mchana kutwa😀😀😀
Mi mwenyewe sijaelewa elewa ujue.Mbona wanaagana usiku mwema hii ya lini?
Hili ni jambo tofauti na lile alilofanya Mo. Mo aliamua tu kwa utashi wake hapo ndipo naweza sema ilifanyika jeuri ya pesa. GSM wameshurutishwa na uongozi usio na busara na wao wakatii. Na kama kuna watu wenye busara zao wamekaa nao na kukubali kurudi ni heri tu.KAMA NI KWELI GSM KARUDI
HIVI HIZI MAMBO ZA MTU AKICHUKIZWA NA JAMBO KUSUSA KISHA AKIBEMBELEZWA ANARUDI HIVI MNAZIONAJE NDIO JEURI YA PESA AMA?
NAWAZA UPANDE WA PILI WA SHILINGI INA MAANA ALISHINDWA KUTAFUTA SULUHU MPAKA AFANYE HAYO ALIYOYAFANYA KAMA ALIKUWA NA NIA YA KUBAKIA?
SIO DANGANYA TOTO HII?[emoji848]
Oooh. Ila kama usemavyo ikiwa karudi ni kheri pia.Hili ni jambo tofauti na lile alilofanya Mo. Mo aliamua tu kwa utashi wake hapo ndipo naweza sema ilifanyika jeuri ya pesa. GSM wameshurutishwa na uongozi usio na busara na wao wakatii. Na kama kuna watu wenye busara zao wamekaa nao na kukubali kurudi ni heri tu.
Hivyo mumefurahi wenyewe.