Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Dah! Afadhali maana kuna watu humu pressure iliku 200![emoji3][emoji3][emoji3]
Huu ndio wakati wa washabiki na wapenzi wa Yanga kudhihirisha kuwa kweli Yanga ni timu ya wananchi kweli kweli. Inatakiwa kufukuza viongozi wote wa Yanga kisha timu ikabidhiwe GSM. Timu ya wananchi waamuzi ni wananchi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuhh!!

Hakika usemalo kama wanaeza wafanye mchakato wa mabadiliko mana hatutaki kuishi kwa mashaka kiasi hiki.
Mbumbumbu fc.limewashukaaaaa
Screenshot_20200325-150534.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio wakati wa washabiki na wapenzi wa Yanga kudhihirisha kuwa kweli Yanga ni timu ya wananchi kweli kweli. Inatakiwa kufukuza viongozi wote wa Yanga kisha timu ikabidhiwe GSM. Timu ya wananchi waamuzi ni wananchi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ndio itakuwa suluhisho aisee. Tuachage zile mambo za zamani na sisi tuendeshwe kisasa.
 
Upitie dukani kwa mangi japo ujipoze na soda barrriiiidi🤪🤪🤪
Pole lakini kwa taarifa zilizowakosesha raha mchana kutwa😀😀😀
Unajua tena tulishaisahau nguvu ya buku sasa hao wanga walikuwa wanataka kuturudisha tena kule.
 
KAMA NI KWELI GSM KARUDI

HIVI HIZI MAMBO ZA MTU AKICHUKIZWA NA JAMBO KUSUSA KISHA AKIBEMBELEZWA ANARUDI HIVI MNAZIONAJE NDIO JEURI YA PESA AMA?

NAWAZA UPANDE WA PILI WA SHILINGI INA MAANA ALISHINDWA KUTAFUTA SULUHU MPAKA AFANYE HAYO ALIYOYAFANYA KAMA ALIKUWA NA NIA YA KUBAKIA?

SIO DANGANYA TOTO HII?[emoji848]
Hili ni jambo tofauti na lile alilofanya Mo. Mo aliamua tu kwa utashi wake hapo ndipo naweza sema ilifanyika jeuri ya pesa. GSM wameshurutishwa na uongozi usio na busara na wao wakatii. Na kama kuna watu wenye busara zao wamekaa nao na kukubali kurudi ni heri tu.
 
Oooh. Ila kama usemavyo ikiwa karudi ni kheri pia.
 
Back
Top Bottom