Hahaha dah Mtani!!una data kamili mie nishajisahau hivyo!!Mtani kumbe uko nyuma sana eee Tusiwe naye kwa sababu gani tena wakati tulishamsajili kwa miaka miwili tayari. 😀
Acha kabisa Mtani.
Hapa mtani ni ukweli kabisa umenishinda hoja...HahahaDuh hvi Morrison mtakuwa nae kweli msimu ujao!??Mana kwa janga hli gsm hawatawapa pesa ya usajili.
Hvi kwanini hatupewi tu kombe letu!??
Tukitoka ni mwendo wa Kujipaka Sanitizer,Barakoa za kutosha na tahadhari kama zote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kumbe uko nyuma sana eee Tusiwe naye kwa sababu gani tena wakati tulishamsajili kwa miaka miwili tayari. 😀
Acha kabisa Mtani.
Hahahaaa. Pole Mtani mambo za Koona hizo zinafanya tunasahau mambo mengine kwani macho na masikio ndio tumeelekeza huko.Hahaha dah Mtani!!una data kamili mie nishajisahau hivyo!!
Ila mtani unajua kuna kuvunja mkataba eti!!!Njaa haivumiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo sasa.Kwani Moo yeye hataathirika na Covid 19? Mikia wao hawatakimbiwa na wachezaji? Bilioni 20 zenyewe za kununua mikia bado hajaitoa
Mnyero Fc watulie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Naona mmeanza kuja,ni hivi Corona italeta madhara kiuchumi ila nyie yatawaumiza zaidiKwani Moo yeye hataathirika na Covid 19? Mikia wao hawatakimbiwa na wachezaji? Bilioni 20 zenyewe za kununua mikia bado hajaitoa
Mnyero Fc watulie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Hamna kitu kama hicho Mtani hii ikitokea hivyo itakuwa madhara kwa Wafanyabiashara wote na si GSM pekee.Aisee Naona mmeanza kuja,ni hivi Corona italeta madhara kiuchumi ila nyie yatawaumiza zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mtasema lugha zotekidunula1 na Chikwuemeka naona kama Pluijm yuko sahihi.
Kwani na sisi tulizidi kusajili wachezaji ilimradi tu mwishowe wakawa watazamaji tu huku wanakula mshahara wetu pasi kuisaidia timu.
Hahah Gsm tangia hapo hali si haliHahahaaa. Hamna kitu kama hicho Mtani hii ikitokea hivyo itakuwa madhara kwa Wafanyabiashara wote na si GSM pekee.
Ni ukweli huo Mtani inabidi tubadilike sababu Timu kubwa kama Yanga kujaza magarasa haifai aisee.
Haya ni yako Mtani ila sisi tunajua GSM yuko vizuri.Hahah Gsm tangia hapo hali si hali
Nyie mlimfanya manji kafilisika mana kila mtu alikuwa analisha hadi familia za wachezaji(huu utani mwingine huu[emoji87][emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah Jamaa anajiamini sana ila Ndio hivyo akili inataka ila mwili unakataa..Ni ukweli huo Mtani inabidi tubadilike sababu Timu kubwa kama Yanga kujaza magarasa haifai aisee.
Niliona sehemu anasema kwa sasa anajifua kwa nguvu zote na mpaka Corona ikiisha tutamsahau kwani atakuja kivingine kabisa. [emoji23][emoji23]
Hahah huko mie sichangii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]Haya ni yako Mtani ila sisi tunajua GSM yuko vizuri.
Cha ajabu mnatujua kuliko tunavyojijua Mtani. Sema Manji alifilisiwa na yule naniliu yule [emoji40] kwa kumpa k e s i za kila aina mpaka akafilisika na si Timu yaWananchi.
Yeah yupo sahihi,hasa wa kimataifa maana bora kusajili watano wa uhakika kuliko kusajili 10,wawili au wanne ndiyo wanapambana wengine ukiwa angalia hamna kitu........kidunula1 na Chikwuemeka naona kama Pluijm yuko sahihi.
Kwani na sisi tulizidi kusajili wachezaji ilimradi tu mwishowe wakawa watazamaji tu huku wanakula mshahara wetu pasi kuisaidia timu.
Hahahahaaa. Lol.Hahah huko mie sichangii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ngoja nirudi nyumbani nikajifukize[emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mtani na nyie mtoke uko mliko..Hahahahaaa. Lol.
Wahi Mtani. [emoji23]
Tatizo wanaowaleta. Bado wanaamini kwenye 10%kidunula1 na Chikwuemeka naona kama Pluijm yuko sahihi.
Kwani na sisi tulizidi kusajili wachezaji ilimradi tu mwishowe wakawa watazamaji tu huku wanakula mshahara wetu pasi kuisaidia timu.
YANGA KUZINDUA WEBSITE NA APPLICATION
Uongozi wa Yanga umepanga kufanya uzinduzi mkubwa wa Website na Application ya Yanga Sc.
Afisa habari wa Yanga Sc Hassan Bumbuli amesema kuwa kila kitu kipo tayari kwa sasa hivyo mashabiki wajiandae ku support timu yao kwa kuweza (kupakua) download app rasimi ya Yanga Sc.
Uzinduzi huo unatarajia kufanyika siku ya Alhamisi Makao Makuu ya Klabu na matukio yote yatakuwa Live kupitia platform mbali mbali za mitandao ya kijamii ya Yanga Sc.
@Yangafulldozz