Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Hahaha dah Mtani!!una data kamili mie nishajisahau hivyo!!Mtani kumbe uko nyuma sana eee Tusiwe naye kwa sababu gani tena wakati tulishamsajili kwa miaka miwili tayari. 😀
Acha kabisa Mtani.
Ila mtani unajua kuna kuvunja mkataba eti!!!Njaa haivumiliki
Sent using Jamii Forums mobile app