Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hapo program sijui zitatumia za mwalimu Mkuu au mkwasa nae atakuja na zake halafu kocha Mkuu akija ataendelea na zake!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ni Barakoa Fc tu kwa sasa. Haiwezekani ugonjwa unaisha halafu ndio wanasambaza vitambaa. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mana baada ya kuuza sanitizer weee mwishowe ndio kaona agawie watu vitambaa ambapo wengi anaowapa hata sidhani kama hizo pasi wanazo sa si hatari hiyo Mkuu. πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…