Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Goli ambalo vizazi na vizazi vya Mikia watakuwa wanalisimulia. ๐ ๐ ๐Kagoli kamoja ka faulo basi mnajiona mabingwa wa Afrika eeh!!!? Yanga bana๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli ambalo vizazi na vizazi vya Mikia watakuwa wanalisimulia. ๐ ๐ ๐Kagoli kamoja ka faulo basi mnajiona mabingwa wa Afrika eeh!!!? Yanga bana๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTynawqtakia mema, msimkubali Mkwasa kama kocha๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Lengolakekuifungatimumojatusiokochahuyo
Kwa goli lile la mpira wa kutenga!!!? Hebu acha masihara basi Shadeeya๐คฃGoli ambalo vizazi na vizazi vya Mikia watakuwa wanalisimulia. ๐ ๐ ๐
Hahahahaa. Lol.Kwa goli lile la mpira wa kutenga!!!? Hebu acha masihara basi Shadeeya๐คฃ
Kwasababu tunajali mashabiki wetuHahahahaa. Lol.
Nasikia leo mmegawa barakoa huko? ๐ ๐ ๐
#BARAKOA FC. TEH TEH
Mbona mmechelewa? ๐Kwasababu tunajali mashabiki wetu
Mbona mmechelewa? [emoji28]
Hapo program sijui zitatumia za mwalimu Mkuu au mkwasa nae atakuja na zake halafu kocha Mkuu akija ataendelea na zake!?MABOSI:- MKWASA KUKABIDHIWA TIMU
Mabosi wa Klabu ya Yanga wamechungulia mbali na kuona ligi inaweza kurejea hivi karibuni lakini bila ya kuwa na makocha wao wawili, Kocha Mkuu Luc Eymael na yule wa viungo, Riedoh Berdien raia wa Afrika Kusini. Sasa kwa ajili ya kuweka mipango sawa bila ya kutetereka, mabosi hao wa Yanga wameamua kumuachia mikoba kocha msaidizi, Charles Mkwasa kuwa ndiye awe msimamizi mkuu wa timu hiyo wakati ambao Eymael atachelewa kurejea nchini endapo tangazo la ligi kuendelea litakapotangazwa. ๏ฟผ
Mabosi hao wamefikia muafaka huo baada ya kuona Eymael ni ngumu kurejea Bongo kwa sasa kutokana na kwao, Ubelgiji kufunga uwanja wa ndege kutokana na janga la Corona ambapo pia akirejea atatakiwa kubakia karantini kwa siku 14.
Habari ambazo Championi limezipata ni kwamba timu hiyo itakuwa chini ya Mkwasa ambaye wamejiridhisha kuwa kutokana na uzoefu wake, ataweza kuibeba timu hiyo kwenye mechi zilizobaki.
Kabla ya kuja Eymael, Mkwasa aliachiwa timu hiyo baada ya kocha mkuu Mwinyi Zahera kuvunjiwa mkataba wake. โInaonekana labda kocha Eymael anaweza kuchelewa kurejea Bongo kama ligi itaanza hivi karibuni, lakini hilo tayari limeshafanyiwa utaratibu wa kuweza kulikamilisha na kuwa vizuri.
โKitakachofanyika ni kuwa Mkwasa ndiye atapewa timu aiendeshe kwa wakati huo kwa sababu wengi wamemuamini kutokana na kile alichokifanya wakati alipopewa timu baada ya Zahera kuvunjiwa mkataba,โ kilisema chanzo hicho.
Kwa upande wake, Ofisa Mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz, amesema mipango hiyo wanaendelea nayo kuhakikisha hawapati tatizo lolote hata kama kocha huyo atachelewa kurudi na ligi ikianza.
Siyo rahisi kusahaulika yule ha ha haHahahaa. Hamutamsahau eee?
Mana aliwaduwaza mechi ya round ya kwanza.
Ha ha ha haHahahahaa. Lol.
Nasikia leo mmegawa barakoa huko? [emoji28][emoji28][emoji28]
#BARAKOA FC. TEH TEH
Hivi upo Dunia hii Mtani? Aliyekuficha mwambie Mungu anamuona.Mambo!karibu ftar mtani[emoji16]
Yaani hata sielewi na hapo Mkulu leo kasisitiza tena ligi iko mbioni kurudi.Hapo program sijui zitatumia za mwalimu Mkuu au mkwasa nae atakuja na zake halafu kocha Mkuu akija ataendelea na zake!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa kabisa. Ahsante. Ndio tunamalizia malizia mwezi Mtukufu hivi. Salama huko?Mambo!karibu ftar mtani[emoji16]
๐ ๐ ๐
Ili tuchukue ubingwa wetu kihalali. Hatutakagi vya mezani sisiYaani hata sielewi na hapo Mkulu leo kasisitiza tena ligi iko mbioni kurudi.
Hivi upo Dunia hii Mtani? Aliyekuficha mwambie Mungu anamuona.
Poa kabisa. Ahsante. Ndio tunamalizia malizia mwezi Mtukufu hivi. Salama huko?
Hawa ni Barakoa Fc tu kwa sasa. Haiwezekani ugonjwa unaisha halafu ndio wanasambaza vitambaa. ๐ ๐ ๐
Duuh!! Haya unahabari ligi inarudi? ๐๐Mlaumu corona[emoji1]
Hamtaki vya mezani ila vya miamala mnavitaka. ๐ ๐Ili tuchukue ubingwa wetu kihalali. Hatutakagi vya mezani sisi