Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Niongezee tu Mkuu muda ni kuanzia saa tano asubuhi au kwa wasioelewa ni11:00hrs. [emoji28]
Mimi ni nani hadi nisikazie Mkuu. [emoji23][emoji23] NAKAZIIIA.

#Mnyero FC
#Barakoa FC
Hahahaha, kweli nyinyi ,Yanga Damu
 
Habari kubwa kwa Wananchi:

Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, leo amezindua kampeni ya kuelekea uzinduzi wa mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji wa klabu hiyo, ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya mabadiliko ya kimfumo chini ya Mwanasheria Msomi, Alex Mgongolwa.

Mchakato wote wa mabadiliko ya kimfumo utasimamiwa na kufadhiliwa na Mdhamini wa Yanga, Chapa GSM, ukiwa na kauli mbiu ya “TWENZETU KWENYE MABADILIKO”

Huu sasa ni mwanzo halisi wa kuelekea kuweka saini ya makubaliano hayo, ambao utakuwa muda rasmi wa kuanza mchakato wa mabadiliko.

@Azamsports2
 
Maelezo meengi ya Mwenyekiti. Njooni uwanjani tucheze, ndio panaongea kwa sauti kuliko kauli za siasa za mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…