Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia APP yetu Rasmi; "TWENZETU KWENYE MABADILIKO" Ndio kauli mbiu yetu kuelekea kwenye mabadiliko na utiaji saini wa makubaliano baina ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB " The Citizen Team" na La Liga. Kampeni itazinduliwa rasmi kesho ili kutuweka wananchi ktk mkao wa kula juu ya utiaji wa saini ya ushirikiano wa taasisi hizi mbili kubwa duniani huku wengine wakikodoa tu macho na kumeza dawa za usingizi ili wasione ila ndo hivyo Azam hawana adabu itabidi warushe tu. Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao[emoji4][emoji40]. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu[emoji1529][emoji1529]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niongezee tu Mkuu muda ni kuanzia saa tano asubuhi au kwa wasioelewa ni11:00hrs. [emoji28]
Hahahaha, kweli nyinyi ,Yanga DamuMimi ni nani hadi nisikazie Mkuu. [emoji23][emoji23] NAKAZIIIA.
#Mnyero FC
#Barakoa FC
Hewaaa! Niliruka kitu muhimu asee. Ndugu zetu wakaribie mida hiyo kwenye TV zao kupitia Azam TV ha ha haNiongezee tu Mkuu muda ni kuanzia saa tano asubuhi au kwa wasioelewa ni11:00hrs. [emoji28]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Hawakawii kutandika TV kwa mateke hawaMimi ni nani hadi nisikazie Mkuu. [emoji23][emoji23] NAKAZIIIA.
#Mnyero FC
#Barakoa FC
Hahahaaa!! Wajikaze tu kwani mambo kwa timu ya wananchi yanaelekea kuwa 🔥🔥🔥🔥Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Hawakawii kutandika TV kwa mateke hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kaulimbiu naipendaga sana🤪😂😂😂
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Afadhali umeanza kuja kuja. Karibu kwa Wananchi Ses.Hiyo kaulimbiu naipendaga sana🤪
Aaah waapi! Sindanganyiki🤣🤣🤣Afadhali umeanza kuja kuja. Karibu kwa Wananchi Ses.
Yanga ni Genge la wahalifu.
Ila Mtani mna visa. Naona Mtani anaongea na simu. 😅😅😅[emoji3][emoji3][emoji3]
😅😅😅Aaah waapi! Sindanganyiki🤣🤣🤣
Karibu futar Shadeeya
Maelezo meengi ya Mwenyekiti. Njooni uwanjani tucheze, ndio panaongea kwa sauti kuliko kauli za siasa za mpiraHabari kubwa kwa Wananchi:
Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, leo amezindua kampeni ya kuelekea uzinduzi wa mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji wa klabu hiyo, ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya mabadiliko ya kimfumo chini ya Mwanasheria Msomi, Alex Mgongolwa.
Mchakato wote wa mabadiliko ya kimfumo utasimamiwa na kufadhiliwa na Mdhamini wa Yanga, Chapa GSM, ukiwa na kauli mbiu ya “TWENZETU KWENYE MABADILIKO”
Huu sasa ni mwanzo halisi wa kuelekea kuweka saini ya makubaliano hayo, ambao utakuwa muda rasmi wa kuanza mchakato wa mabadiliko.
@Azamsports2
Time ya kupata chai ya hiliki sasa🤪🤪Ahsante. 🙏🙏
Ndo kusema haijakwisha?