Ule muongozo ulishakufa na likatoka tamko kila mmoja acheze kwake.Wanaendaje shinyanga tena,kwani ule muongozo wa kuwa ligi itachezewa dar tu upoje??
Sawa nilikuwa sijaipata hii habari.Ule muongozo ulishakufa na likatoka tamko kila mmoja acheze kwake.
Uko makini sanaUle muongozo ulishakufa na likatoka tamko kila mmoja acheze kwake.
Naachaje kuwa makini sa.Uko makini sana
Sawa mi nawatakia ushindi mnono KMC japo ni mechi ya kirafiki.Naachaje kuwa makini sa.
Karibu Uwanja wa Bibi kesho tuna mechi huko.
Kwa macho tu wanaonekana wameongezeka uzito wa kutosha tu. Wanahitaji muda mrefu kuwa match fitMazoezi yameendelea tena leo.
Kama ulikuwa mawazoni mwangu Mkuu kuna hiyo pic hapo juu ya Magolikipa nimemuona shikalo alivyogeuka hapo kwa nyuma tu anaonekana amenenepa.Kwa macho tu wanaonekana wameongezeka uzito wa kutosha tu. Wanahitaji muda mrefu kuwa match fit
Mkianza kupoteza mechi msisingizie ubonge wenu. Kumbukeni wachezaji wa timu zote nao pia walikua kwenye lock downKama ulikuwa mawazoni mwangu Mkuu kuna hiyo pic hapo juu ya Magolikipa nimemuona shikalo alivyogeuka hapo kwa nyuma tu anaonekana amenenepa.
Nadhani wanavyozidi kufanya mazoezi match fitness wataipata tu.
Kesho mapema tu jukwaa kuu VIP[SUB]View attachment 1469376[/SUB]
Mkuu hawa jamaa hawaishiwi visingizio msimu huu walishapoteza, muhimu kwao ni kujipanga kwa msimu ujao tu.Mkianza kupoteza mechi msisingizie ubonge wenu. Kumbukeni wachezaji wa timu zote nao pia walikua kwenye lock down
Saafi!!! Twendeni tukaijaze shamba la bibiKesho mapema tu jukwaa kuu VIP
Hahahaaa. Lol.Mkianza kupoteza mechi msisingizie ubonge wenu. Kumbukeni wachezaji wa timu zote nao pia walikua kwenye lock down
Siwaachi hebu rudi hapa ShadeeyaπππHahahaaa. Lol.
Tuwacheni. πππ
Duuh!! π€π€π€