Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Attachments

  • 81014060_2483247731938157_5661261882518929408_n.jpg
    81014060_2483247731938157_5661261882518929408_n.jpg
    5.8 KB · Views: 1
Kwa macho tu wanaonekana wameongezeka uzito wa kutosha tu. Wanahitaji muda mrefu kuwa match fit
Kama ulikuwa mawazoni mwangu Mkuu kuna hiyo pic hapo juu ya Magolikipa nimemuona shikalo alivyogeuka hapo kwa nyuma tu anaonekana amenenepa.

Nadhani wanavyozidi kufanya mazoezi match fitness wataipata tu.
 
Mkianza kupoteza mechi msisingizie ubonge wenu. Kumbukeni wachezaji wa timu zote nao pia walikua kwenye lock down
 
Back
Top Bottom