Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kali mnoo. Nadhani kuanzia msimu ujao zitapatikana kwa GSM sababu mkataba wake katika kutengeneza bidhaa mbalimbali na timu na wananchi umekuwa mpana na haujaishia kwenye jezi pekee.

Hivyo tuandae mshiko tu.
Hahahaha, hapo GSM watakua wamepiga bao , maana jamaa bidhaa zao nyingi haziko brand na pia hawana bidhaa za wananchi wa kawaida



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo naamini huyu ndiye aliyewahi kuwa Katibu mbovu kabisa kuwahi kutokea ndani ya Yanga ila pengine kuna vimambo Fulani huko ndani. Nimeona anasema ameachia ngazi kwa maslahi mapana ya klabu ila ndani ya klabu kuna vitu vimejificha japo hatoweza kuvisema na muda utaongea! Pamoja na hayo yooote huyu Mzee hadi sasa huwa sielewi aliongea vitu gani hadi akashawishi kamati impe ukatibu mkuu!
 
Watuweke wazi shida ilotokea siyo wanaongea hewani hewani tu. Tunajua huyu ni mume halali Wa mikia hivyo kama alikuwa kwa wakeze kupetiwa petiwa kidogo watuambie tu tutamsamehe, na kama alifanya utovu mwingine Wa nidhamu achukuliwe hatua pia!
 
Hahahaaa. Mie alinitia aibu ile siku ya Mkataba wa La Liga mpaka nikasema kwa nini wamemfanyia interview mana alivyokuwa anaongea ni dhahiri hakuwa anajua nini kinaendelea.

Sa sikujua ndio alikuwa anaogopa Kamera ama la. 😂😂😂
 
Watuweke wazi shida ilotokea siyo wanaongea hewani hewani tu. Tunajua huyu ni mume halali Wa mikia hivyo kama alikuwa kwa wakeze kupetiwa petiwa kidogo watuambie tu tutamsamehe, na kama alifanya utovu mwingine Wa nidhamu achukuliwe hatua pia!
Hakika Mkuu mana hizi mambo hizi ndio mwisho wa siku zinaletaga Mpasuko ndani ya timu mana nimeona sehemu eti Morison anaanza mazoezi tarehe 18.

Unadhania wenzie wanajisikiaje hapo. Mabadiliko yaje ili hizi mambo zife yaani wachezaji wote wawe sawa.
 
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 16:00HRS DHIDI YA JKT TANZANIA.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…