Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ambazo wakinywa baada ya mida wanazitoa kwa njia ingine na hapo ndio wanakuwa washasahau nini kilitokea. 😂😂Wao wakienda kwa Moo wanafaidi juice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambazo wakinywa baada ya mida wanazitoa kwa njia ingine na hapo ndio wanakuwa washasahau nini kilitokea. 😂😂Wao wakienda kwa Moo wanafaidi juice
Hahahaha, hapo GSM watakua wamepiga bao , maana jamaa bidhaa zao nyingi haziko brand na pia hawana bidhaa za wananchi wa kawaidaKali mnoo. Nadhani kuanzia msimu ujao zitapatikana kwa GSM sababu mkataba wake katika kutengeneza bidhaa mbalimbali na timu na wananchi umekuwa mpana na haujaishia kwenye jezi pekee.
Hivyo tuandae mshiko tu.
Yeye mwenyewe si unaona mwandiko wake? Unaonyesha naye ni mbumbumbu mwandamizi kabisa!Sawa mbumbumbu fc fan
Japo naamini huyu ndiye aliyewahi kuwa Katibu mbovu kabisa kuwahi kutokea ndani ya Yanga ila pengine kuna vimambo Fulani huko ndani. Nimeona anasema ameachia ngazi kwa maslahi mapana ya klabu ila ndani ya klabu kuna vitu vimejificha japo hatoweza kuvisema na muda utaongea! Pamoja na hayo yooote huyu Mzee hadi sasa huwa sielewi aliongea vitu gani hadi akashawishi kamati impe ukatibu mkuu!View attachment 1479753
[emoji848][emoji848]
Hapa wabunge,mawaziri,makatibu na serikali kwa ujumla pasipo kujali itikadi za timu zao watakuwa walipata wasaa Wa kupata burudani ya bure kabisa toka kwa timu ya wanchi!!
Huyu kijana level zake siyo za kucheza hapa nchini
Basi hapo akina kichuya wanajisikia vibaya kishenziii asee!Wadhamini wetu kampuni ya GSM @gsmhometz leo wametoa nafasi kwa msafara wa Timu ya Wananchi kutembelea maduka GSM Dodoma na kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali.
Watuweke wazi shida ilotokea siyo wanaongea hewani hewani tu. Tunajua huyu ni mume halali Wa mikia hivyo kama alikuwa kwa wakeze kupetiwa petiwa kidogo watuambie tu tutamsamehe, na kama alifanya utovu mwingine Wa nidhamu achukuliwe hatua pia!Winga Benard Morrison leo Amefika makao makuu ya Klabu na kuongea na kaimu katibu Mkuu.Adv.Simon Patrick pia Morrison akatumia nafasi hiyo kuomba radhi kwa wanachama na Mashabiki wa Yanga pia ameleeza sababu ya sintofahamu zilizojitokeza siku za hivi karibuni.
Kweli kabisa Mtani na watapiga sana pesa.Hahahaha, hapo GSM watakua wamepiga bao , maana jamaa bidhaa zao nyingi haziko brand na pia hawana bidhaa za wananchi wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Mie alinitia aibu ile siku ya Mkataba wa La Liga mpaka nikasema kwa nini wamemfanyia interview mana alivyokuwa anaongea ni dhahiri hakuwa anajua nini kinaendelea.Japo naamini huyu ndiye aliyewahi kuwa Katibu mbovu kabisa kuwahi kutokea ndani ya Yanga ila pengine kuna vimambo Fulani huko ndani. Nimeona anasema ameachia ngazi kwa maslahi mapana ya klabu ila ndani ya klabu kuna vitu vimejificha japo hatoweza kuvisema na muda utaongea! Pamoja na hayo yooote huyu Mzee hadi sasa huwa sielewi aliongea vitu gani hadi akashawishi kamati impe ukatibu mkuu!
Kabisaa. Huwa anajituma mnooo.Huyu kijana level zake siyo za kucheza hapa nchini
Hahahaaa. Sio kina Kichuya tu hadi na kina Sesten Zakazaka na Troisième Ceil . 😂😂😂Basi hapo akina kichuya wanajisikia vibaya kishenziii asee!
Hakika Mkuu mana hizi mambo hizi ndio mwisho wa siku zinaletaga Mpasuko ndani ya timu mana nimeona sehemu eti Morison anaanza mazoezi tarehe 18.Watuweke wazi shida ilotokea siyo wanaongea hewani hewani tu. Tunajua huyu ni mume halali Wa mikia hivyo kama alikuwa kwa wakeze kupetiwa petiwa kidogo watuambie tu tutamsamehe, na kama alifanya utovu mwingine Wa nidhamu achukuliwe hatua pia!
Kwennddraaaaaa. 😎
Nijisikie vibaya kwa ajili gani Shadeeya? Nifafanulie tafadhaliHahahaaa. Sio kina Kichuya tu hadi na kina Sesten Zakazaka na Troisième Ceil . 😂😂😂
Kisa Timu ya Wananchi imeenda kupata huduma kwenye maduka ya GSM. 😎😎😎Nijisikie vibaya kwa ajili gani Shadeeya? Nifafanulie tafadhali
NB: Tangu mdogo timu yangu ni JKT Tanzania.
Sawa usije ukakimbia baadae ukasingizia unaenda kupika😜😜🐸🐸🐸Kwennddraaaaaa. 😎
#DaimaMbeleNyumaMwiko.