Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Klabu ya soka ya Yanga imeahidi kutoa adhabu kali kwa mchezaji wake, Lamine Moro kutokana na kitendo chake cha kumrukia teke mchezaji wa JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya timu hizo. Mchezo huo umemalizika kwa sare ya 1-1 Dodoma @yangasc1935 #HabariLeoUpdate https://t.co/exAKM5bvMM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…