Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Leo nilikuwa nina hasira nae[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah...kala umeme?Lamine Moro hatakwepo mechi ya jumapili na azam kala kadi nyekundu kazi mnayo
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Daaah...kala umeme?
Hujaridhika na Kadi nyekundu aliyooneshwa?Nassubiri Kauli ya TFF kwa uhuni alioufanya huyu mbembe Lamine Moro
Matokeo ya leo hayajaniuma japo Simba watayafurahia, muhimu kwetu Yanga ni kunyakua Ubingwa wa ligi kuu tukaiwakilishe nchi Club bingwa.
Daima mbele
Hata kama angekuwapo, Azam huwa anajipigia YangaLamine Moro hatakwepo mechi ya jumapili na azam kala kadi nyekundu kazi mnayo
Hata kama angekuwapo, Azam huwa anajipigia Yanga