Hivi Mtani tangia tulijue soka Lamine ndio wa kwanza kufanya haya eee? 🤔🤔Nassubiri Kauli ya TFF kwa uhuni alioufanya huyu mbembe Lamine Moro
Hahahaaa. Umefanya nimecheka.Matokeo ya leo hayajaniuma japo Simba watayafurahia, muhimu kwetu Yanga ni kunyakua Ubingwa wa ligi kuu tukaiwakilishe nchi Club bingwa.
Daima mbele
Wacha weee!! Ningekuwepo naamini ungesema ukiangalia mpira huwa huwezi kuandika. 😁Leo nilikuwa nina hasira nae[emoji16]
yeees!! Bingwa wa kihistoria.Watakuja na historia yao[emoji1]
Simba wala wasingehangaika. Tff wapoHatua papo kwa hapo!View attachment 1481671
Bwahaa bwahaaa bwahaajajahaaaNa hasa sisi Mikia ndio tungeumbuka zaidi mana si kwa dua mbaya zile tulizoziomba baada ya jkt kupata kamoja.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Jumapili Never Tigere anapiga hat trick yake ya kwanza ligi kuu.😬Kazi gani hiyo? Tulia Mkuu jumapili si mbali eti.
Hahahaa inabidi mvumilie tu ni miaka 10 ya mateso kwenu. Hadi zile back to back zikamilike na ikiwezekana tuongeze nyingine 10.Hahahaaa. Umefanya nimecheka.
Viol kuna uzi wa Updates ameanzisha huko weeee. M b u m b u m b u mnachamba bana.
Yaani ni vichambo tu humo. Lol. Nikajikuta nawaza hivi nje ya kuandika kikawaida si mnaeza mchamba mtu hadi akazimia kama si kufa.
Ropo ropo wenu amewaharibu mbaya.
Hamna kitu kama hichoo.Hahahaa inabidi mvumilie tu ni miaka 10 ya mateso kwenu. Hadi zile back to back zikamilike na ikiwezekana tuongeze nyingine 10.
Simba nguvu moja
TupingeJumapili Never Tigere anapiga hat trick yake ya kwanza ligi kuu.😬
Haya tupinge akifunga utanipa nini😎😎Tupinge
Hahahaaaa. LolHaya tupinge akifunga utanipa nini😎😎
Hahahaa sawa nitaipokea kwa mikono miwili lakini SITAIVAA. Nitaihifadhi kabatini ibaki kama kumbukumbu.Hahahaaaa. Lol
Jezi ,mpyaaaa ya Timu ya Wananchi yenye chapa GSM. 😎
Hahahaaaa. Lol
Jezi ,mpyaaaa ya Timu ya Wananchi yenye chapa GSM. 😎
😀😀😀Hahahaa sawa nitaipokea kwa mikono miwili lakini SITAIVAA. Nitaihifadhi kabatini ibaki kama kumbukumbu.
Simba nguvu moja
Hamna huwa ni vitu tu ambavyo huwa vinatokea sana mchezoni.Mtani nasikia siku hizi timu imekuwa ya wacheza kareti!
Mtani nasikia siku hizi timu imekuwa ya wacheza kareti!