Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Matokeo ya leo hayajaniuma japo Simba watayafurahia, muhimu kwetu Yanga ni kunyakua Ubingwa wa ligi kuu tukaiwakilishe nchi Club bingwa.

Daima mbele
Hahahaaa. Umefanya nimecheka.

Viol kuna uzi wa Updates ameanzisha huko weeee. M b u m b u m b u mnachamba bana.

Yaani ni vichambo tu humo. Lol. Nikajikuta nawaza hivi nje ya kuandika kikawaida si mnaeza mchamba mtu hadi akazimia kama si kufa.

Ropo ropo wenu amewaharibu mbaya.
 
20200617_180651.jpg
IMEISHA IYOOOO.

TUNAGANGA YA AZAM NOW.
 
Hahahaaa. Umefanya nimecheka.

Viol kuna uzi wa Updates ameanzisha huko weeee. M b u m b u m b u mnachamba bana.

Yaani ni vichambo tu humo. Lol. Nikajikuta nawaza hivi nje ya kuandika kikawaida si mnaeza mchamba mtu hadi akazimia kama si kufa.

Ropo ropo wenu amewaharibu mbaya.
Hahahaa inabidi mvumilie tu ni miaka 10 ya mateso kwenu. Hadi zile back to back zikamilike na ikiwezekana tuongeze nyingine 10.

Simba nguvu moja
 
Back
Top Bottom