Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hamna huwa ni vitu tu ambavyo huwa vinatokea sana mchezoni.
View attachment 1482303
π π πAu ndo alikuwa anatuonesha kwamba amepungua uzito?
Si amewaomba radhi lakini Mtani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jumapili Never Tigere anapiga hat trick yake ya kwanza ligi kuu.[emoji51]
Haya basi Shadeeya sikuwa najuaππSi amewaomba radhi lakini Mtani?
ππππππππππππππππππHaya basi Shadeeya sikuwa najuaππ
Na hakuchukuliwa hatua yeyoteHamna huwa ni vitu tu ambavyo huwa vinatokea sana mchezoni.
View attachment 1482303
Huyu ni mcheza judo au...!?
Na wala sisi hatukuchonga kama wanavyochonga sasa mikia.Na hakuchukuliwa hatua yeyote
Hahahaa. Yao hawayaoni Mkuu.Huyu ni mcheza judo au...!?
Hahahaha Kuna nn kinaendelea kwa timu za kariakoo hukoWanasemaga kila MUOSHA HUOSHWA. Mlipigaga kelele sana issue ya Chama haya leo zamu yenu.
Wanasemaga kila MUOSHA HUOSHWA.
Mlipigaga kelele sana issue ya Chama haya leo zamu yenu.
Hahahaaa. Ni kuhusu ule mshiko wenyewe wanasema ilikuwa kishika uchumba lol π walichompa Morison ili asaini huko kwao. πHahahaha Kuna nn kinaendelea kwa timu za kariakoo huko
Lakini alishasaini kihalali miaka miwili akiwa ndani ya hiyo miezi sita. ππS
Chura FC inatoa mikataba ya miezi mitatu mitatu kwa wachezaji wake utadhani vibarua wa kukata miwa kwenye yale mashamba kule Turiani na Kilombero. Hawajui kwamba sheria inaruhusu mchezaji akibakiza chini ya miezi sita kwenye mkataba na timu yake ya sasa anaweza kufanya mazungumzo na klabu nyingine
Najua hapa ndio mnaona pa kujitetea kwamba mchezaji akiwa amebakisha miezi sita kurudi chini ana haki ya kufanya mazungumzo na klabu nyingine. Lol.S