Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Najua hapa ndio mnaona pa kujitetea kwamba mchezaji akiwa amebakisha miezi sita ana haki ya kufanya mazungumzo na klabu nyingine. Lol.

Tusubirini tuone itakuwaje Ses.

Mnalo. [emoji3][emoji3][emoji3]

Bado mna mawege ya kupata suluhu
 
Mie ujue bado siamini hivi Morison huyu huyu ndio mnamtolea macho namna hiyo? 😂😂😂

Kipindi tunamsajili mlimpa kila jina baya moja wapo eti mwizi. Lol Sasa mwizi na 5imba wapi na wapi?
 
Lakini alishasaini kihalali miaka miwili akiwa ndani ya hiyo miezi sita. 😎😎
Mbivu na mbichi zitajulikana tu, Wazee wa kulalamika Chura FC si wanapeleka malalamiko rasmi? Tusubiri tuone

Ila ushauri wa bure ni kwamba ukiona mwanao hapendi kurudi nyumbani, kutwa anashinda kwa majirani na hata kula ni hukohuko, jambo la kwanza hebu jichunguze wewe mwenyewe hapo kwako kabda ya kuanza kumuadhibu mtoto au kulalamikia majirani. Pengine shida ipo kwako🤣🤣🤣
 
Mie ujue bado siamini hivi Morison huyu huyu ndio mnamtolea macho namna hiyo? 😂😂😂

Kipindi tunamsajili mlimpa kila jina baya moja wapo eti mwizi. Lol Sasa mwizi na 5imba wapi na wapi?
Vuta subira ujue anakwenda wapi, pengine Ndanda FC wamepanda dau. Mpira ndio maisha yake, sasa mnamletea longolongo awatizame tu🤣🤣🤣
 
Hakika Mbivu na mbichi zitajulikana huko yalikopelekwa malalamiko mana ndio wana sheria.
 
Haya ni yako shabiki wa Mnyero Fc . 😎
 
Hahahaha, dah hii sijaifuatilia siijui vzr, sasa nyie yanga mmelipiza?
Nadhani siku zinavyosogea ndio tutalijua hili sakata vizuri Mtani.

Kwa ufupi hatujalipiza ni kauli tu za kiutani wa jadi japo hao kuna mwezi hivi waliposikia Mwakalebela ameongea na Chama aje kwa Wananchi weee Manara aliwaka na kusema wataenda hadi FIFA kisa Chama ana mkataba wa miaka sijui miwili au mitatu kama sikosei mpaka Mwakalebela akaomba radhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…