Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sidhani kama watakimbia Mtani.

Ninachokielewa hawataki iwe Klabu ya mtu mmoja hivyo ndio sababu wakatoa mawazo kama hayo.
 
We acha tuu.. Mchana Makande. Usiku tuna enjoyed nayo tena.Asubuhi siku inayofuata tuna hitimisha nayo.. 🀲🀲Ni haramu na kosa la jinai kuyachokaπŸ˜†πŸ˜†love our parents love home..
Hahahaaa. Binamu umenikumbusha mbali hiyo ya kuyanywea chai asubuhi lol.

Ila wazazi walikuwa na bajeti sana.
 
Ha ha ha akasema hapa sikubali nitatumia uwezo wangu wote Wa kuongea kwa ishara alonijaalia Muumba wangu hadi hawa wazungu wanielewe!
Hahahaaa. Sevilla Baba lao.

Hivi Wawa aliombaga nini vile? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mana kama nakumbuka na yeye alikuwa anabembeleza. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…