Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sidhani kama watakimbia Mtani.Juzi dodoma wanawafungulia tawi huko nilimsikia yule Eng anasema wanahitajika wanachama mil 1 wenye kulipa ada ya elfu 12 kwa mwaka, mtakua na bil 12 na club itakua mali ya wanachama sio imilikiwe na mtu mmoja akinuna tu hesabu imegonga mwamba
niliwah msikia pia akiongelea namna Madrid na Barcelona zinavyoendeshwa kwa mafanikio makubwa na hazimilikiwi na mtu binafsi.. jibu ni jepesi tu hawa jamaa WANAWAKIMBIA
swali langu ndio linakuja Kwann mnawaacha wawakimbie?
Ninachokielewa hawataki iwe Klabu ya mtu mmoja hivyo ndio sababu wakatoa mawazo kama hayo.