Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Juzi dodoma wanawafungulia tawi huko nilimsikia yule Eng anasema wanahitajika wanachama mil 1 wenye kulipa ada ya elfu 12 kwa mwaka, mtakua na bil 12 na club itakua mali ya wanachama sio imilikiwe na mtu mmoja akinuna tu hesabu imegonga mwamba

niliwah msikia pia akiongelea namna Madrid na Barcelona zinavyoendeshwa kwa mafanikio makubwa na hazimilikiwi na mtu binafsi.. jibu ni jepesi tu hawa jamaa WANAWAKIMBIA

swali langu ndio linakuja Kwann mnawaacha wawakimbie?
Sidhani kama watakimbia Mtani.

Ninachokielewa hawataki iwe Klabu ya mtu mmoja hivyo ndio sababu wakatoa mawazo kama hayo.
 
We acha tuu.. Mchana Makande. Usiku tuna enjoyed nayo tena.Asubuhi siku inayofuata tuna hitimisha nayo.. 🤲🤲Ni haramu na kosa la jinai kuyachoka😆😆love our parents love home..
Hahahaaa. Binamu umenikumbusha mbali hiyo ya kuyanywea chai asubuhi lol.

Ila wazazi walikuwa na bajeti sana.
 
Ha ha ha akasema hapa sikubali nitatumia uwezo wangu wote Wa kuongea kwa ishara alonijaalia Muumba wangu hadi hawa wazungu wanielewe!
Hahahaaa. Sevilla Baba lao.

Hivi Wawa aliombaga nini vile? 😂😂😂 mana kama nakumbuka na yeye alikuwa anabembeleza. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom